Sumayae ana usafi gani hadi Mtikila amsifie sana?

Kibanikolo

Member
Aug 12, 2011
28
0
Jamani naumia sanaa kusukia mtikila a namusifia sanaa sumaye hivi jamani ana usafi gani naomba mnijuze mwenzenu
 
Mtikila ni 'gun for hire' serving the highest bidder. Kama alivuta za Rostam kwa nini tusimtilie mashaka anapoanza kupamba Sumaye?
 
mwaka 2005 gazeti la Nipashe lilimkariri Mtikila akisema "Sumaye mla rushwa mkubwa!" sasa kazi kwenu
 
Hivi usafi ndo guarantee ya kutoa maoni masafi au?au hivi ni vitu tofauti ambavyo si lazima viendane?maana mtoa hoja anaungana na Ndugai kujadili usafi wa wazungumzia usafi badala ya usafi uliozungumziwa...!du..!
 
Jinsi ulivyoandika, msomaji ana haki kupuuzia thread yako. Malizia kwanza elimu yako ya primary ndio uje JF
ndugu mbona husomeki ya mgaya yametoka wapi?, wote waliochangi umesoma hawa ndio wanafalsafa hata kama unauhusiano naye jibu hoja na sio unaubinafsi
 
sumaye akichakachua na kuwa rais,.jk atafilisiwa hadi kuku,bado ana hasira naye ati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom