Magufuli aliwagomea JK na Pinda naomba na Tena awaonyeshe Hakuna wa kumzuia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magufuli aliwagomea JK na Pinda naomba na Tena awaonyeshe Hakuna wa kumzuia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by king11, Jan 8, 2012.

 1. k

  king11 JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwenye kampeni ya bomoa bomoa watu waliovamia barabara licha ya kukatazwa na pinda na JK yeye alibomoa na kuacha haibu kubwa kwa JK na Pinda . sasa sakata la nauli za kigamboni lipo kwa pinda nadhani atampelekea taarifa na JK , Magufuli tambua pinda na JK ni wasanii tuonyeshe makucha yako jinsi unavyowadharau pinda na JK ili wajue wao ni vilaza.

  sakata la kigamboni ni mgogoro kati ya pinda na magufuli kwani pinda alisema nauli azijapanda na magufuli amesema zimepanda na hakuna wa kuzishusha. je nani zaidi
   
 2. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Kwenye mabango mbona alinywea?
   
 3. G

  Godwine JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kazi kweli kweli kabla ya 2015 mengi tutuyaona
   
 4. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Acha wararuane wenyewe mura, tumechoka viongozi wanaopenda kutukuzwa bila kuhurumia watu wanaowaongoza. Sasa kweli viongozi wote hao pamoja na uzoefu wao wanashindwa kuelewana kwenye jambo dogo kama hilo? Uvivu mwingine wa kishamba sana kwa viongozi wetu. Kiongozi ni kuwa na msimamo!!
   
 5. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vita vya mpanzi....:lol:
   
Loading...