Maalim Seif atumia magari ya serikali kummaliza Hamad Rashid | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maalim Seif atumia magari ya serikali kummaliza Hamad Rashid

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jan 8, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot] [/FONT]

  [FONT=&quot]Katibu Mkuu wa CUF, Maalim seif Shariff Hamad ambaye pia ni makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya mapinduzi (inayoongozwa na sera na ilani ya CCM) jana alijkwenda kwenye mkutano wa chama chake huko Manzese Dar, akiwa kwenye msafara wa magari ya serikali kinyume cha matumizo ya magari hayo, limeandika Mwananchi toleo la leo.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Seif aliwasili kwenye mkutano huo akiwa kwenye msafara wa magari zaidi ya sita, yakiwemo ya serikali likiwamo alilokuwa amepanda.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Msafara wake uliongozwa na pikipiki na magari ya msafara wa viongozi wa Jeshi la polisi…….[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Habari zaidi katika Mwananchi.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]MY TAKE:[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Inaonekana Maalim Seif anatumia hela za walipa kodi (ambazo siyo zile za ruzuku CUF inapata) kujikweza kisiasa na kuwafinya mahasimu wake katika chama chake.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Mwenzake aliyemnyonga hapo hadharani, yaani HR, hana uwezo huo – jee hii kweli ni HAKI SAWA KWA WOTE?[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Maalim Seif ni mnafiki aliyepitiliza. Anafuja mali za umma ilhali alipokuwa upinzani alikuwa akiwananga ccm kwa matumizi mabovu ya mali za umma. Hii inaonesha alikuwa hajapata nafasi vinginevyo ni njaa tu ilikuwa inamsumbua sasa kapata kaamua kuwa kama wao ccm!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  Huyu ndio aliuza urais? Huku watu wakimpigia makofi?
   
 4. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  you have raised a very pertinent and valid issue: separation of govt and party functions in so far as utilization public resources is concerned - tatizo lililopo ni kwamba kiongozi anajifanya kukomaa sana akiwa nje ya system... akishaingia ndani, you can't see the difference with everybody else; ama kweli 'if you can't fight them, join them'
   
 5. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,716
  Likes Received: 1,626
  Trophy Points: 280
  hivi kweli aliuza urais ? kweli huyu balaa kuliko ukoma
   
 6. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kweli njaa ni hatari sana, hata slaa alikubali kutokugombea ubunge baada ya kuhakikishiwa kuwa yale masarufu yote ya bungeni atayapata kwa kipindi chote cha miaka mitano. hapa kwa kiasi fulani ndipo ninapokubaliana na kauli ya pengo alipoenda kumzika kadinali mwenzake wa kanda ya ziwa pale alipowambia wale wanaomsakama mkapa kwa ufisadi alioufanya akiwa ikulu kuwa wanapiga kelele kwa sababu tu na wao hawajapata nafasi.
   
 7. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Ungekuwa wewe mkuu ungepanda taxi? Acheni hizo jamani, tushughulike na matatizo ya msingi yanayoikabili nchi yetu.

  Hoja kama hii haiwezi kutuondoa hapa tulipo na kutupeleka mbele kimaendeleo, mfano waziri mkuu Mh. Pinda alilikataa shangingi jipya kwa madai ni la gharama san. Mkamshangilia sana mkidai ni mzalendo huku wakati huo huo ofisi yake inaendelea kununua mashangingi ya aina hiyo hiyo kwa ajiri ya makatibu wakuu, mawaziri, manaibu wao na wakuu wa mikoa (wakati yale ya zamani wanauziwa kwa bei bwerere)!

  Sasa hapo saving iko wapi kama sio kutaka umaarufu wa kisiasa tu?
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  ccm at work!
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  ccm at work!
   
 10. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jamani mwache atumie kwakuwa kuwa kwenye shughuli za chama chake hakumwondolei hadhi ya umakamu.
   
 11. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Jamani naomba Kujuzwa: Hivi hawa Hamad's is Blood brothers?? Sasa hizi vita za kumalizana zinatoka wapi?
  Kosa la Hamad mbaye alikuwa kiongozi wa Kambia ya upinzani ni kukubali cheap money/bakshishi za CCM
   
 12. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 734
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ngeleja yupo kanda ya ziwa kunadi sera za ccm, anatumia gar la serikali, pinda akiwa mpanda ki chama anatumia magar ya serikali na huku akiongozana na viongozi wa serikaki, rais akiwa na shughuli za chama anatumia magari ya serikali, seif naye humohumo. Tatizo si seif wa jk, wala si ngeleja n.k. Tatizo ni katiba hailezi au wenye mamlaka hawafuatilii. Ukienda bar usiku unakuta STK, STJ, SU zimepaki nje. Shule zikifungwa/kufunguliwa utakuma magari ya serikali yamepaki nje kusuburia kuchukua watoto wa vigogo/kuwaleta watoto wa wakubwa.
   
 13. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2,197
  Trophy Points: 280
  magari hayo ni halali yake, kwani ndiyo mfumo alioukuta na kuukubali. tujadili kilicho mtuma pale ninini? je ameongea haki sawa kwa wote had HR? maana huyu mzee hata ccm wamemshinda kuvumiliana wanapotofautiana. kama ccm wangekuwa wanatimuana hovyo mnafiki sitta angekuwa wa kwanza. japo najua wanaogopa kusambaratika. ila sasa CUF bado msiba tu. kwa kheri CUF!!!!!!!
   
Loading...