Nchi moja tena maskini lakini marais watano (5) ~ Tanzania! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi moja tena maskini lakini marais watano (5) ~ Tanzania!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Welu, Jan 8, 2012.

 1. W

  Welu JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 815
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Hivi ndugu zangu kuwa na marais watano katika nchi maskini kama Tanzania ni kuongeza utawala bora ua ni kujiongezea umasikini. Zanzibar kuna marais 3 na muungano 2 je huu si mzigo kwetu. Katiba mpya itupe suluhu ktk hili.
   
 2. mkolosai

  mkolosai JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,151
  Likes Received: 641
  Trophy Points: 280
  Wewe mpumbavu kweli, hivi unataka rais adumu miaka 50 ndo uone kuwa tunaendelea? Watu wanapigania muhula uwe mmoja tu wewe unataka kutuletea upupu wako humu. Nyie ndo vibaraka mnaotaka kutumia kuiharibu katibat na kuleta machafuko.
   
 3. mkolosai

  mkolosai JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,151
  Likes Received: 641
  Trophy Points: 280
  Wewe mpumbavu kweli, hivi unataka rais adumu miaka 50 ndo uone kuwa tunaendelea? Watu wanapigania muhula uwe mmoja tu wewe unataka kutuletea upupu wako humu. Nyie ndo vibaraka mnaotaka kutumiwa kuiharibu katiba na kuleta machafuko.
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Sijui nani mpumbavu kati yako wewe ambaye hujaelewa mada na aliyetoa maada ambayo ni ya msingi! Mwenzio anasema ndani ya term moja, au leo as in today our mother land has 5 presidents not over the cause of 5 decades! Na akaendelea kufafanua Znzb kuna raisi na Makamu 2 making a total of 3 na bara kuna 2.
  Acha kutukana watu wewe!
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Hata mi nashangaa mpumbavu ni nani hapo!
   
 6. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Soma mada ukisha elewa ndiyo uchangie. Wakati mwingine jitahidi kupiga mswaki asubuhi kabala ya kuja huku jamvini. Harufu ya kinywa chako kimetuchefua sana asubuhi hii hapa jamvini.
   
 7. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi umesoma mada au umesomewa na asiyejua kusoma?
   
 8. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii ndio TZ ambayo haijali ustawi wa wananchi wake bali matumbo yao. Matumizi ya rais mmoja na wasaidizi wake kwa mwaka yanatosha kumaliza tatizo la vitabu katika shule za msingi.
   
 9. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  mkolosai kiswahili kigumu au umepata cha arusha?yan wanajf wanaelewa kati yako na mleta mada nani mpumbavu! marais 5 wengi jaman!
   
 10. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  usilete upolisi wako humu,mambo ya geshi la bolisi peleka sentero abande!
   
 11. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Welu bongo ni nchi ya ajabu sana,hapa kwa haraka maraisi wanne kila miaka5 na sasa ni5 ukimwongeza mwanaccm B hon.seif ,ina maana tangu uhuru tuna marais17 wake zao ni23 na watoto4 mara 17,majaji wastaafu,mawaziri wakuu. Yote ni mizigo ya taifa,bado madini tumempa mwekezaji alaf tuseme tz maskini? huu ni ukanjanja!
   
 12. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Usiwe kama wakolosai wasiopenda kusikia, soma kwanza mada uielewe halafu ufikirie cha kuchangia halafu jifunze kusoma habari nzima acha uvivu ndugu. Nitarudi baadae
   
 13. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0


  Wewe ndiye kilaza hopeless kabisa....hv umeelewa alichoandika mtoa mada?
   
 14. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,590
  Likes Received: 1,676
  Trophy Points: 280
  Haaaaa HUJAMUELEWA, Ana maanisha muungano ni Kikwete na Bilali, Zanzibar ni Shein, Seif na sijuhi nani yule mwingine,
  au huoni ni watano?
   
 15. m

  mhondo JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Aombe radhi ili yaishe.
   
 16. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  duh kuna watu wanakurupuka, pengine kabanwa na haja kubwa.
   
 17. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #17
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwani hapo kosa lake ni nini? Au mi sijamuelewa!
   
 18. Complicator EM

  Complicator EM Senior Member

  #18
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wote mliotukana humu badala ya kuchangia mada ni wapumbafu kama mkolosai.
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  matatizo ya kucomment title hayo kweli mitz mivivu kusoma..
   
 20. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Tatizo mkolosai kachafua hali ya hewa na kama unavyojua hali ya hewa ikishachafuka kila mtu anashika pua na kutafuta mahala pa kutokea sasa ili watu warudi kwenye mada mchafuzi aje aondoe kauli yake laasivyo watu wataendelea kushika pua
   
Loading...