Maalim Seif 'aunguruma' Manzese - Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maalim Seif 'aunguruma' Manzese - Dar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MANGI MASTA, Jan 7, 2012.

 1. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF na Makamu wa Kwanza wa serikali ya Zanzibar, Mh. Maalim Seif Hamad leo atakuwa akihutubia katika viwanja vya Bakhresa-Manzese Dar es Salaam kuanzia saa 8 mchana.

  Viongozi wote wa kitaifa wa CUF watakuwepo isipokuwa Prof. Lipumba ambaye yuko Marekani kwa shughuli za uchumi wa kimataifa.

  Atazungumzia maamuzi yalichukuliwa na CUF pia kuzungumzia Umaskini unaoikabili nchi.

  Source: Mtanzania ya leo
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Sawa sawa?
   
 3. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Big cuf siku zote askari anapoasi vitani lazima auawe vitani.maalim anabusara sana
   
 4. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Nadhani angeanzia sera zake Wawiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..Hapo no comments
   
 5. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Yetu macho....
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  hawa wapemba wanaitakia nini Tanganyika?
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  unweka upupu unajijibu mwenyewe
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  huyu mtu namshangaa sana anafuata nini bara,si aliapa ni lazima rais ajaye atoke Zenji?
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  na miguu pia
   
 10. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  crap...hana cha maana atakachoongea
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  umeonaeeeeeeeeeeee
   
 12. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hakiiiiiiii......Haki sawa kwa nani...........kwa wote (isipokuwa.....HR) asiposema haya CUF itakuwa imekufa.
   
 13. M

  Molemo JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Haki ni sawa pale mtu anapotetea tumbo lake
   
 14. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Kila la Heri na sarakasi zenu. Hope watu wa matawi ya Chechnia na Kosovo watahudhuria na kurudisha fenicha alizowanunulia HRM. Ila mwambie Maalim Seif asijidanganye na suala la urais wa Tanzania 2015 ataambulia aibu tu. Jussa naye atakuwepo kumuwakilisha RA?
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  seif alifukuzwa ccm na nyerere na yeye anarudia yaleyale. Kumbe nyerere hakufanya makosa kumfukuzwa ccm nilidhani yeye atasahihisha
   
 16. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Aungurumapo simba mcheza nani? Seif ni simba asiye na meno wala kucha hata akiunguruma hana mashiko.
   
 17. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  sisi CUF wa bara tunamtaka hamad rashid na hasa Dar es salaam
   
 18. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Hivi CUF bado ni chama cha siasa? au genge la wala ruzuku?
   
 19. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Sielewi sura ya Seif itakuwaje atakapoambiwa kiti alichokalia ni baadhi ya fenicha zilizotolewa na HR,

  ...mh. katibu mkuu karibu sana Manzase huyu HR alitaka kutuvuruga katuhonga fenicha baadhi yake ni hicho kiti ulichokalia na hiyo meza iliyo mbele yako.......hahahaaa Mpemba atakuwa kama mkizi.
   
 20. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Tangu Maalim seif atumie nguvu kubwa kumfukuza mwaasisi mwenzake wa CUF Hamad Rashid simuhitaji tena kumsikilza ikiwa ni pamoja na yule Julius Itatiro kibaraka wa Seif na kundi lake.
   
Loading...