Siku za Godbless Lema zinahesabika.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku za Godbless Lema zinahesabika..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Mar 6, 2011.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Je Lema kuchakachuliwa kama alivyowafanyiwa Mrema, Magufuli na sasa Lema?

  Katika uvunjifu wa sheria ulio tokea tarehe 18-12-2010 na kupelekea kipigo kwa Mbunge wa Arusha mjini na baadae mauji ya watu watu na wengi kujeruhiwa yaliyofanywa na Polisi tarehe 05/03/2011 kuna kauli aliyoitoa Godbless Lema akiwa amelazwa Mount Meru Hospital na hapa namnukuu:

  "Nasikia kuishiwa nguvu sijui polisi wamenifanya nini, Naishiwa nguvu tu, sijisikii kumwa ila miguu inawasha"

  Na kauli aliyowahi kuitoa Andengenye kuwa siku za Godbless Lema zinahesabika, je nini kumtokea Lema....?


  Angalia na sikiliza dakika ya 5:18 mpaka dakika 5:32  Naomba kutoa hoja

  ===========
  [​IMG]
  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hawawezi kumchakachua lema hata kidogo, coz najua arusha patachimbika
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Crashwise hivyo ndiyo vitu tunavyohitji wanaJF vya ukweli sana, nashukuru kwa taarifa.
   
 4. coby

  coby JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Lema anahitaji kuihakikisha afya yake vizuri kwani kwa mujibu wa kauri hizo ni wazi angalizo kubwa la afya linahitajika kwa mbunge wetu huyo. Hawachelewi kumpandikizia sumu mwilini katika hatihati za kumtuliza kwani ndiye mbunge ambaye anaongoza kwa kupigwa pigwa vibaya na polisi na kupelekwa hospital in emergency akiwa hajitambui. Hili ni angalizo tu
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu tena ande nje wakamcheki afya yake maana tuna kumbuka yaliyo mkuta magufuli akaenda kuponea ujerumani...
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Na zungumzia kiafya wana uwezo wa kukupulizia sumu ukufa taratibu hawashindwi mkuu...na siyo rahisi kugundua ushauri kwa Lema kwanza akacheck Afya na awe makini sana...akumbuke hili jimbo sisimu wana litaka kuliko jimbo lolote...
   
 7. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Hili si la kufanyia masihara.afya ya lema inahitaji kuchunguzwa kwa umakini mkubwa.Kuna uwezekano wa kuharibu akili ya mtu au kumuwekea sumu iayomuua taratibu.alichofanyiwa mrema ni Mungu anajua.Hii taarifa ya jeshi la polisi kwamba siku za lema zinahesabika si ya kuchukulia juujuu.
   
 8. Ney wa Barca

  Ney wa Barca JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sijui tunakoelekea ila ni vyema Mh. Lema ukachukua tahadhari kabla ya hatari!
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  inawezekana tayari ni hatari...Tujiulize nini kilipelekea kuishiwa na guvu huku miguu kinawasha..
   
 10. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hata siku za Madiba Mandela zilihesabi na bado hazijatimia. Some more Madibas are comming, and some are yet to be born. Tuangaike kuboresha utawala bora, tuache kuumizana.
   
 11. M

  Mwera JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wewe achana na wamafia kama walimchakachua kolimba,kighoma malima nawengineo watashindwa kwamtu mdogo kama lema?
   
 12. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Unamaanisha nini unaposema mtu mdogo kama Lema? Au ndo dharau zenu hizo kwa viongozi wetu dada yangu Mwera?
   
 13. k

  kibunda JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Documentary hii nimeipenda. Imeonyesha upande wa pili. Maana kabla ya hii tulionyeshwa tu lile tangazo la Maelezo lililodai CDM ni wachochezi na walikiuka amri ya polisi.
   
 14. U

  Uswe JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  CCM ni mafia!
   
 15. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #15
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mwenyewe anasema bora kufa mapema ila jina lako likaishi kuliko kuishi miaka 90 halafu unakufa na typhoid
   
 16. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  aangalei wasije wakamtupia kipande cha lithium.....ambacho kinachukua mwaka mmoja na miezi 2 then unaaga dunia

  hawana maana ccm..........
   
 17. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  part 1 ya hii documentary twaweza kuipata mr crashwise?
   
 18. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,536
  Likes Received: 2,116
  Trophy Points: 280
  tutaendelea kuishitaki CCM kwa wananchi maana vikao vya Meya, Baraza la Madiwani, Bunge, chaguzi vyote vinachakachuliwa na CCM kwa kutumia nguvu za dola, 'katiba', 'kanuni' n.k ili kukwepa kujibu hoja za msingi toka CHADEMA.

  Ila Fredrick Sumaye naona ana anza kuelewa somo kuwa CCM ijibu hoja na kuacha kukimbilia 'nguvu za dola' kukandamiza hoja mbadala toka kwa CHADEMA.

  VIDEO KWA HISANI YA MrCRASHMORE:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Du nimekumbuka ushauri huu sijui kama lema aliuona
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  lema ni sawa na nguvu ya soda
   
Loading...