Viongozi wawili ccm kuburuzwa mahakamani

Ramso5

Member
Dec 13, 2011
63
8
Diwani mmoja wa ccm na waziri wake ambao ni vijana na wanatoka wilaya moja ya mkoa wa mwanza,huenda wakatinga mahakamani muda wowote kujibu mashitaka dhidi yao.viongozi hao ambao wanamiliki jengo la ghorofa 8(hotel) lenye thamami ya mabilioni ya pesa ktk mtaa mmoja katikati ya jiji la Mwanza.Taarifa zilizopatikana ni kuwa viongozi hao kutokana na ubabe,utawala,jeuri ya pesa na kuhonga vyombo vya serikali,wamejikuta matatani dhidi ya familia moja ambayo inataka jengo hilo livunjwe kwa kuwa limeingilia kiwanja chao.waziri huyo aliye ziarani kanda ya ziwa juzi alipita kukagua ujenzi wa jengo ambalo liko mbioni kumalizika ambalo gumzo ktk jiji la mwanza lote
 
Hebu kwanza kuwa na AKILI hata kidogo tu jamani! kama unaona habari unayotaka kutuambia humu ni SIRI kwa nini unaileta humu au ndo majungu yenu hayo ya CHICHIEMU?Kama umeamua kusema, sema na tulijadili hapa.Wabunge wa CCM Mkoa wa Mwanza wenye pesa na Madiwani ni wengi! Kwanini unataka kutupotezea muda humu?

Nadhani, sasa utaleta hiyo habari kamili humu na chanzo chako cha ufukunyungu! Karibu Kaka/Dada.
 
Pesa za dowans hizo zinafanya kazi.hazina pa kwenda zinaishia na kuhonga viongozi wa vyama vya siasa na kujinadi kwenye vyombo vyombo vya habari kuwa amesambaqatisha ngome ya chadema sengerema na mwanza
 
Hebu kwanza kuwa na AKILI hata kidogo tu jamani! kama unaona habari unayotaka kutuambia humu ni SIRI kwa nini unaileta humu au ndo majungu yenu hayo ya CHICHIEMU?Kama umeamua kusema, sema na tulijadili hapa.Wabunge wa CCM Mkoa wa Mwanza wenye pesa na Madiwani ni wengi! Kwanini unataka kutupotezea muda humu?

Nadhani, sasa utaleta hiyo habari kamili humu na chanzo chako cha ufukunyungu! Karibu Kaka/Dada.
Acha kukurupuka,soma vizuri hiyo post.Hakuna neno mbunge hapo.Anayetajwa hapo ni waziri kutoka mkoa wa Mwanza.kama unashindwa kujua mkoa wa Mwanza una idadi gani ya mawaziri ktk baraza la sasa, wewe ni Great thinker kweli?mpaka utafuniwe kila kitu
 
Back
Top Bottom