Zanzibar ni nchi au ni serikali ndani ya Jamhuri?

sw33tboy

Member
May 24, 2011
42
4
wakuu nisaidieni kumetokea ubishi mkubwa kunamtu anadai zanzibar ni nchi ni ugonvi mkubwa mpaka jamaa kaweka fedha
 
Zanzibar mbona mbona ni Wilaya tu hiyo.......sema wanywa ghahawa wengi sana huko
 
wakuu nisaidieni kumetokea ubishi mkubwa kunamtu anadai zanzibar ni nchi ni ugonvi mkubwa mpaka jamaa kaweka fedha

Nyie wote ni wageni hapa nchini? Hamfatilii mijadala juu ya hadhi ya Zanzibar ambayo miaka nenda rudi imekua ikiibuka na kupotea?
 
A country is a region legally identified as a distinct entity in political geography. A country may be an independent sovereign state or one that is occupied by another state, as a non-sovereign or formerly sovereign political division, or a geographic region associated with a previously independent people with distinct political characteristics. Regardless of the physical geography, in the modern internationally accepted legal definition as defined by the League of Nations in 1937 and reaffirmed by the United Nations in 1945, a resident

Zanzibar ni nchi iliyopo ndani ya muungano(A country may be an independent sovereign state or one that is occupied by another state) kwani kama unavyoona mwenyewe ina;
1.bendera yake
2.wimbo wake wa Taifa
3.majeshi yake
4.Raisi wake
5.ina serikali yake
6.ina watu wake
7.ina sheria zake

tena ni nchi ya kiislam
 
KMKM au?
 
Back
Top Bottom