Tazama anachokifanya mh Dr shein na anachafanya aliyeapishwa kuwa raisi wa URT 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tazama anachokifanya mh Dr shein na anachafanya aliyeapishwa kuwa raisi wa URT 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Blessed, Jan 7, 2012.

 1. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  [​IMG]HAPA ANAFANYA ufunguzi wa jengo la Bodi ya mapato Zanzibar[​IMG][​IMG]hapa ni ufunguzi wa jengo kwa ajili ya wataalamu wa afya kutoka nje ya nchiKWA UPANDE WA PILI[​IMG]MH Dr kikwete na waombolezaji wengine wakiusubiri mwili wa marehemu Aziz SHEWEEN[​IMG]hapa mh akihudhuria makusanyiko mengine ya mazishiMAONI YANGUHaya yote yanayofanywa na viongozi wetu ni mazuri,ni vyema but deep inside naamin mh Dr Kikwete he is way to much with that,naamin hata Zanzibar kuna misiba mingi tu ya muhimu ya kuhudhuria,napendekeza mh Dr kikwete ajikite zaidi katika mambo ya msingi zaidi(kuwatembelea wajane na mayatima ni vyema pia)ya kuisaidia hii nchi!Mwenyezi Mungu Ibariki Africa,Mwenyezi Mungu Ibariki Tanzania!
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mwaka uliopita Zanzibar wametembelewa na watalii zaidi ya 170,000... An all time record, big up to Dr Shein. Upande wa pili wameuza wanyama walio hai ili watalii wasijisumbue kuja kuwatazamia huku in future. Marais wote wawili ni Ma Dr na wanaabudu dini moja lakini mmoja ana weledi wakati mwingine ni mbabaishaji anayedhani mambo yatajiendea yenyewe huku serikali yake ikishindwa kulipa hata mishahara ya madaktari na askari kwa wakati
   
 3. Kumbakumba

  Kumbakumba JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  good analysis
   
 4. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi Kikwete (PhD-Heshima, UDOM, Uturuki) wana elimu sawa na Shein (PhD-Academic)? Aiseeee, mmenifumbua macho na akili. Nilikuwa nje ya mstari kabisa.
   
 5. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nice analysis kwa kweli, nafikiri ni vema tukawa tunachagua watu wenye akili, he learned from a real president Mr Benjamin W. Mkapa
   
 6. T

  Topical JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  and Ally Hassan Mwinyi
   
 7. M

  Mkandara Verified User

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ujinga mtupu... yaani wee katika yote umeona hakuna isipokuwa msiba wa Aziz Sheween. Weee unamjua marehemu alikuwa nani na una record zote za misiba ambayo Dr.Shein amehudhulia. Ujinga mwingine hata hauna kipimo. Upumbavu mtupu kwani kujenga jengo la mapato ndio maendeleo yanavyoyapimwa au unatakiwa kuonyesha ongezeko la mapato?
   
 8. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  nitaonesha udhaifu wa hoja hii kwa faida yako na wengine wa aina yako!

  udhaifu wa hoja hii

  • naamini kujenga majengo ni kitu chema na kizuri sana na si kipimo pekee cha maendeleo
  ushauri wangu
  reply yako inaonesha una hekima sehemu fulani use it
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  hivi ile taasisi ya REDET iliyokuwa inatoa analysis za uongo ili kumpigia japuo JK, mwenyekiti wake enzi hizo, Prof Mukandara, naye uprof wake ni wa UDOM au Uturuki?

  nadhani IQ level pia ya jamaa yetu ni below 40
   
 10. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Angeenda kuhudhuria kusimikwa mpakwa mafuta ingekuwa maendeleo?
   
 11. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndio. Au wewe unaonaje?
   
 12. M

  Mkandara Verified User

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu nimekusoma kama navyozisoma hoja nyinginezo. Nilikusoma hadi mweisho ili nipate kuelewa unacholenga maana sibagui mada kwa sababu zozote. Mpumbavu pekee ndio anaweza
  kuita mada Ujinga ikiwa hakuisoma na kuelewa...Hivyo nimekusoma kwa sababu nilitaka nikuelewe unachozungumzia hata kama kina mapungufu..


  Sina sababu ya kukusoma sehemu nyingine ikiwa nachozungumzia ni mada hii, na pengine nisome mimi pia ktk mada nyinginezo nimekupa sifa ktk maandishi yako ama bandiko sichagui mtu wala elimu ya mtu bali ujinga huzungumziwa kama ujinga wa kutoelewa na ukielilimishwa utaelimika..

  Mada hii haina mantiki hata kidogo maana unatuonyesha Dr.Shein akifungua jengo halafu unamwonyesha JK akihudhulia misiba..Jamani unahitaji degree kuelewa huu ni ujinga mtupu isipokuwa kwa mtu ambaye hakupenda ulichoandika!..

  I mean sikupenda kipi? wewe nambie ambacho sikukipenda nadi maana nimeona ujinga..Hee! nani kati yetu asiyehudhulia misiba nani? Umeambiwa Dr.Shein hafiki misabani au JK hafungui majengo maana hata haieleweki unachojaribu kusema hapa..

  Mkuu nazijua sifa nyingi za dr.Shein kama kiongozi lakini sii vitu ulivyoweka hapa ktk picha havielezi chochote ktk ufanisi wa utendaji kazi.. Hakuna!
   
 13. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jazba hazijibu hoja. Huyu bwana ametoa mawazo yake kwa namna anavyofikiri yeye. Na kama unaona ni ujinga, acha nijijumuishe katika huo ujinga. Sidhani kama ni sahihi kwa mkeo kushabikia misiba kiasi akasahau kuwashushia chandarua wanao wakaugua malaria na wao wakafa. Hakuna asiyejua kufiwa, lkn this is too much. Kila msiba na bethdei hakosekani!

  Hilo ongezeko la mapato unalioneshea uwanjani pale Manzese - Bakhresa au? Hilo jengo ni kitega uchumi, kwa hiyo ni maendeleo pia. Suala la marehemu alikuwa nani ndio ujinga. Kuwa kwake nani hakuhalalishi matumizi ya muda kwenye misiba zaidi ya shughuli za maendeleo. Karibu JF, jukwaa la wasio na jazba wala chuki. Ni vipande kwenda mbele. Ukiona ngumu kumeza, tema.
   
 14. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Si kweli kwamba kuhudhuria misiba si jambo la busara!Vilevile ufunguzi wa miradi si lazima ufanywe na raisi!
  Sijaona mantiki ya hoja yako!
   
 15. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  hujaweza kuona sababu hukujiandaa kuona sasa huu uzi utazidi kuwemo humu siku utakapoamua kuona uje na utaona

  dont let yourself to be this cheap we una thamani zaidi ya hiki unachoonesha
   
 16. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Kwa sababa anatawala marehemu lazima afurahie misiba,huo ni ushauri aliyopewa na Sheikh Yahaya marehemu.
   
 17. t

  thatha JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  hebu tuache kupotosha jamii.si kweli kwamba kiongozi akihudhuria msiba ndo anapoteza muda wa kazi na si kweli kwamba anapoteza muda badala ya kufanya kazi za maendeleo.rais anafanya kazi kwa ratiba na kwa kuthamini michango ya wananchi wote ndio maana anakuwa karibu nao wakati wa raha na shida.sisi huku kila mkoa una jengo la TRA wewe ulieona kufungua hilo jengo leo ni dili sana,kwa taarifa yako serikali ya tanzania ilishaliona hilo miaka 20 iliyopita.kikwete ni mtu wa watu haachi kushiriki kwenye matatizo ya watu wake kwa sababu ya chuki na husuda zenu.
   
 18. t

  thatha JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  marehemu ni wewe na mke wako,watanzania sio marehemu tunamshukuru mungu kwa kutujalia uzima tunaendelea kuishi ispokuwa wewe usiye na shukrani lau ya huo uhai alokupa mungu.
   
 19. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkandara umekuja juu kweli kweli leo,,sijawahi kusikia namna hii!
   
 20. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Big up saana Dr. Shein..... ni rais aliyetulia na anayefanya mambo kiakili.

  Mkapa? huyu rais mwizi kuliko wote katika historia ya Tanzania..... tuondoleeni upuuzi wenu hapa!!
   
Loading...