Naibu waziri wa TAMISEMI akataa kuzindua Boti Bukoba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu waziri wa TAMISEMI akataa kuzindua Boti Bukoba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Jan 8, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Naibu waziri wa TAMISEMI Aggrey Mwanri amegoma kuzindua boti huko Bukoba mkoani kagera baada ya kupata taarifa kuwa boti hiyo ni kuu kuu na kuna harufu ya rushwa katika taratibu za ununuzi wake.Naibu waziri ameagiza watumishi 14 wa halmashauri ya muleba watiwe ndani kwa uhusika wao wa ufisadi na wahojiwe kisha wafikishwe mahakamani wakajibu mashtaka dhidi yao.

  my take; Namkubali mwanri katika utendaji wake.ni jembe.
  chanzo; habari tbc saa 2
   
 2. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  huyu mheshimiwa kichwa chake kinapata moto sana - tusubiri tuone kama kutakuwa na consistency na muendelezo au kama ni nguvu ya soda tu
   
 3. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  TBC news 0800 pm
  Naibu waziri wa TAMISEMI Mh Aggrey Mwanri amenukuliwa na TBC saa 2 usiku leo akikataa kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Inasemekana Halmashauri ya Wilaya ya Muleba imefunga injini chakavu kwa gharama ya sh 40 Milioni na kwa ushahidi wa wananchi boat hiyo iliwahi kuzimika mara baada ya kufungwa hiyo injini.

  Mh Naibu ameagiza wote waliohusika katika kuvunja sheria ya manunuzi washughulikiwe na halmashauri.


  My Take:
  Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa Aggrey Mwanri kwa kipindi, ila sielewi kwa nini bado ni naibi waziri mpaka leo. Hi ni type ya utendaji wa Magufuli, afikiriwe zaidi. Nawasilisha
   
 4. m

  matunge JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  du sijui na kwetu itakuwa hivyo maana ana ziara na kwetu..........
   
 5. N

  Njele JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tusubiri habari zaidi
   
 6. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mwenzako akinyolewa, wewe tia maji mzee
   
 7. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hata huku kwetu sijui atafika maana wajanja wamekula hela za serikali
   
 8. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Ndo zake! Tatzo hajui nan yupo nyuma yake!
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nahisi huyu Mwanri ni show-man, hakuna matendo kabisa! Angekuwa ni mchapakazi hayo mambo yasingekuwa yanajirudiarudia. Kila leo tunamuona anakosoa majengo ambayo tayari yameshakamilika, na leo ilkuwa ni boti tayari iko ziwani. Je, Mwanri alikuwa wapi wakati wakati majengo yanajengwa? Huku sio ndio ku-deal na matokeo badala ya mizizi ya matatizo? Hiyo boti aliyokataa kuzindua inajulikana ina walakini kwa muda mrefu, alikuwa wapi?

  Tukumbuke wizara ya hii ya Tawala za mikoa ni mbovu mbovu kupita maelezo. Halmashauri zinakula pesa vibaya mno, mwanri anatokeza na makelele yake kwenye camera!
   
 10. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Uchaguzi wa CCM-2012 at its best!
   
 11. +255

  +255 JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Kwani ile sheria ya kununua vitu chakavu haikupitishwa bungeni!? Au anatafuta tu umaarufu
   
 12. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sijawahi kumuona huyu jamaa akitabasamu.Anajitahidi kwa kusema ukweli
   
 13. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Akianza kuongea basi hiyo mvua..! labda ukae na mwamvuli karibu.
   
 14. Imany John

  Imany John Verified User

  #14
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Unajua zahama ya njedengwa dodoma nani ndo muhusika?
  Then why mnasema huyu mtu ni mchapakazi?
   
 15. M

  Moelex23 JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 8, 2006
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna Halmashauri zaidi ya 100 TZ, sasa atamicro manage vipi zote at the same time?? Hii wizara ni ngumu mno, na uchafu wa kwenye Local Govt ni mkubwa kupita maelezo. Amejitahidi sana kufumua hizo halmashauri na kuweka Mauditor na watu wa finance wenye qualifications. Kuna improvements, lakini akifika eneo la tukio, ulitaka afanye nini baada ya kuona kuna kasoro???
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ina maana hakuna system kabisa ya quality management hadi wanasiasa ndio washtuke??
   
 17. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe ni mgeni na tanzania...hayayo ni maigizo hiyo movie ifwatilie utaona mwisho wake
   
 18. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mwanri ni Mtanzania Mzalendo tungekua na Mawaziri wa tano tu kama Mwanri tungepia hatua sana kimaendeleo! Namkubali Mwanri asilimia 100
   
 19. F

  FJM JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hapo ndio ubunifu unatakiwa. Aweke system (effective system) itakayomwezesha kufuatilia Halmashauri, na sio huu mfumo wa ujima wa kwenda mahali 'physically'! Kama wizara inamshinda anaweza kuachia ngazi lakini akikaa kimya maana yake anaweza, na hivyo wananchi wana haki ya kumhoji kelele zake zimezaa nini.
   
 20. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Hongera zake kama ni kweli.
   
Loading...