Ali Karavina wa PSRC amepotelea wapi?? Eti ni kweli aliondolewa na wakubwa baada ya ufisadi wa NIC

Alfred Ngowi

Member
Jan 8, 2012
50
4
Wadau kuna tetesi kwamba Bwana Karavina alitolewa pale PSRC ya zamani kwasababu ya ufisadi wa National Insurance.. na taarifa zilizopo mitaani zinasema ni rafiki wa wakubwa.. ndio wamlindao.. ni kweli haya wadau?? anayejua atupe habari..
 
Back
Top Bottom