Mbunge wa Ilemela jijini Mwanza kuunguruma leo

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Ni kamanda Highness Kiwia atakuwepo Nyamanoro kuanzia saa nane mchana na nitakuwepo kuwapeni updates.Hakuna kulala mpaka kieleweke.Peeeeeeeooooooples Poweeee
 
Ni kamanda Highness Kiwia atakuwepo Nyamanoro kuanzia saa nane mchana na nitakuwepo kuwapeni updates.Hakuna kulala mpaka kieleweke.Peeeeeeeooooooples Poweeee

Isije kuwa mwisho wa mkutano ni kilio kwa CDM. Dr. Slaa ameshaanza kulalama kuwa CCM imepanga kuwatoa wabunge wa CDM kanda ya ziwa. Muwe tayari kwa lolote kitachotokea!!
 
Kama huyu mbunge Highness Kiwia, hakuna kitu kabisa amalizie kipindi chake tu...Ilemela wanajuta
 
Kuna kitu gani mpaka sasa hivi anaweza kujivunia kama mbunge kafanya...wakazi wa Nyamanoro, Lumala, Nyasaka, Bwiru, Nyakato, Buswelu, Pasiansi. kiseke, Igombe, naombeni majibu
 
Msiwe wajinga, kazi ya mbunge si kuwagawia pesa au kuwaletea maendeleo kwa pesa yake, mmezoea wabunge mafisadi
 
highness kashiriki kuandaa harambee nyiiingi za kuchangia maendeleo jimboni kwake,,kaleta ambulance 2 kubwa,,,kaziba pengo la uhaba wa madawati 600mmpaka sas...anyway atajisemea ila kijana huyo apendi kusemasema ni m2 wa vitendo''''''
 
Kuna kitu gani mpaka sasa hivi anaweza kujivunia kama mbunge kafanya...wakazi wa Nyamanoro, Lumala, Nyasaka, Bwiru, Nyakato, Buswelu, Pasiansi. kiseke, Igombe, naombeni majibu
...serikali yako imeisha-filisika hakuna hata pesa ya kuwalipa watumishi wake,sasa unategemea Kiwia MB aende Kiseke,Nyamanoro,Bwiru,Lumala,Pasiasi,Nyansaka,K/hewa nk,akawahamasishe watu watoke majumban mwao na majembe na makarai wakatengeneze barabara?...Tulimchagua mbuge wetu(Kiwa) asimamie serikali ifanye kazi yake kama inavyopaswa na ahakikishe pesa yote inatengwa kwaajili ya maendeleo ya jibo la Ilemela zinafika jimboni ili kufanikisha miradi ya maendeleo.Ebu ritz twambie mbunge atafanya nini kama tayari serikali anayoisamaia ilete pesa kwaajili ya maendeleo imefilisika?...kabla hauja mrukia Kiwia kwanza ungeanza na huyo unaye mwita raisi kumuuliza,je ameifanyia nini wilaya ya Ilemela tangu aingie madarakan zaidi ya miaka 6?...
 
Kuna kitu gani mpaka sasa hivi anaweza kujivunia kama mbunge kafanya...wakazi wa Nyamanoro, Lumala, Nyasaka, Bwiru, Nyakato, Buswelu, Pasiansi. kiseke, Igombe, naombeni majibu

Ungekuwa wewe ungefanya nini? Acheni ushabiki, yeye na CDM sio Chama tawala nchini, na nchi haijengwi toka mifukoni mwa wabunge Bali ni kwa bajeti. Bajeti apange mkulo kisha uwaulize wananchi wanapigania kujikomboa? You are not serious. Otherwise huo ni unazi tu.
 
Back
Top Bottom