Tamko la waziri kivuli kuhusu madaktari Muhimbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la waziri kivuli kuhusu madaktari Muhimbili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msanii, Jan 8, 2012.

 1. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Wakuu, nawasilisha tamko la CHADEMA kuhusu yanayoendelea kwenye sakata la madktari...
   
 2. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  chadema inazidi kujizolea wafuasi kuelekea 2015.madaktari 229 kila mmoja akikutana ana uwezo wa kukutana na watanzania zaidi ya 5000 kwa mwaka,tuchukulie nusu ya hawa watanzania wakaambiwa ubaya wa serikali,na kwa bahati nzuri ataambiwa na mtu anayemtrust....sijui majaaliwa ya ccm yatakuwa wapi.
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Yaani ccm kama mnala wa baberi haisongi viongozi wake wababe wanatumia nguvu bila akili, poleni magamba mna pepo baya mnahitaji maombi!
   
 4. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  turufu waliyoicheza chadema ni kali.wengi wa watoto wa vigogo ndio madaktari(interns) waliofukuzwa.nashukuru ile dhambi ya ubabe imeanza kuwatafuna ccm
   
 5. k

  kindafu JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Nakuunga mkono ndugu waziri kivuli na ninawahimiza watu wote waliochoshwa na huu ubabe wa serikali usiokuwa na tija kwa Taifa wawaunge mkono hawa vijana wetu na kuonyesha kwa kauli na kwa vitendo! Serikali ndo ilipaswa iwaombe radhi hawa vijana kwa kushindwa kuwalipa kwa wakati kadiri ya makubaliano! Inaumiza kuona serkali inacheza na taaluma hizi adimu ktk Taifa huku ikiwabeba wanasiasa ambao wengi wao hawana mchango wowote kwa taifa licha ya kulipwa mishahara mikubwa na marupurupu ya kufuru! Serikali hii hii ndo kinara cha kukimbizia wenzao India kwa kutumia kodi zetu! My take: ni muhimu chama cha madaktari kikawaunga mkono hawa vijana na kuibana serikali isifanya masihara na afya za watanzania kwa kuthamini na taaluma hii na wanataaluma waweze kuwekewa mazingira mazuri! Nitasikitika sana kama sitasikia tamko toka kwa Dr. Primus Saidia na wenzake!
   
 6. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamani watanzania tumezidi kuwa wapole kinachotakiwa ni kufanya Demostration tuu mpaka kielewe, hivi Jk ana kazi gani pale Ikulu? Maadhamisho ya miaka 50 ya Uhuru pesa zimechezewa halafu unakuta kumbe hata mishahara ya kuwalipa watu muhimu kama madaktari na waalimu hakuna...
  Dah, sijawahi ona Raisi na Serikali ya kipuuzi kama hii...
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Pamoja sana waziri kivuli
   
 8. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,496
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Chadema wanapaswa kwenda hatua moja zaidi ya tamko! Huyo waziri kivuli akutane na waziri mwenzake na kuzungumzia hili.naomba wasiishie kwenye tamko.
   
 9. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyo mkurugenzi ni kilaza!
   
 10. Lugovoy

  Lugovoy JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Anaitwa Dr. Marina Njelekela,alikuwa mwenyekiti wa MEWATA previously na hana muda mrefu tangu apewe huo u director wa MNH.
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  kampeni ya dhidi ya saratani ya matiti kwa akina mama ilimpa jina wakati yupo MEWATA! Kumbe si wote wapigao kelele ni viongozi wazuri.

  Kwa mara nyingine tena kuna tamko la Kiongozi wa CDM nashindwa kuelewa kama ni la Chama au ni la Ofisi kivuli ya afya. Sasa Msemaji wa Chama ana kazi gani kama kila Waziri kivuli atakuwa akitoa tamko linalohusu sekta yake? Nadhani vivuli wanatakiwa wawe wanatoa matamko kule bungeni ila huku nje yawe ni matamko ya Chama kupitia msemaji wa chama.
   
 12. Lugovoy

  Lugovoy JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Kampeni ya saratani ilimpa jina,akapewa MNH lakini kwa mwanzo huu nina wasiwasi na carrier yake nadhani anatekeleza matakwa ya waliomuweka,ni kiongozi wa type ya Makinda.
   
 13. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  uoga wa WATANZANIA NDIO MAUTI YA WATANZANIA.
   
 14. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kigagwangalla aliyewahi kukumbwa na tatizo kama hili na kumpelekea kufutiwa leseni yuko wapi?au leo baada ya kuwa mbunge amesahau yote.
   
 15. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hivi waziri kivuri wa eilimu ni nani mbona mbona yupo kimya ??? Au ni mimi sijamsikia
   
 16. j

  jigoku JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hili ni fundisho kwa watanzania,maana tukiambiwa tu kwa maneno watu hawaamini wala hawako tayari kubadilika,to honest hapa TZ hatuna serikali bali tun kikundi tu cha watu wanaotuongoza kiupofu upofu.kama Serikali kila siku inapiga kelele kuwa haina madaktari wa kutosha leo tena unafanya ubabe wa kufukuza watu namna hii maana yake ni nini?hopeless moving figure ******
   
 17. k

  kikono Member

  #17
  Jan 8, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Big up sana Mh Waziri wangu. Hivi hawa sisiem vipi??nani asiyejua kuwa uwiano wa Dr na wagonjwa ni tishio hapa Tz??nani asiyejua gharama za kuwasomesha ni kubwa sana??nani asiyelia nchi hii kutaka tupate huduma bora za afya???nani adiyejua mabilioni ya kodi zetu ysnaishia lndia na Ulaya kutibu watanzania??Leo tunapata wataalamu wetu wenyewe eti serikali inashindwa kuwalipa posho zao?? Ilitaka walipwe na wagonjwa au?? Nawaambia CCM mtavuna very soon mlichokipanda. Mnataka wagonjwa watibiwe na nyie au?? Shame on you. Na nyie madaktari hamkuona wenzenu Kenya???
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Msiishie kutoa tamko tu, songeni mbele zaidi.
   
 19. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  tusubiri jumamosi kama hayajaibuka makubwa kuliko haya.
   
 20. M

  Makunga JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 772
  Likes Received: 497
  Trophy Points: 80
  jamani inabid watz tuungane sasa tufanye mapinduzi,tutavumilia huu upuuzi hadi lini.Wanadai serikali haina posho na wakati wenyewe wanapandishiana posho,ni wakati sasa wa kujenga tz mpya na mapinduz siku zote yanaletwa na watu ambao ni they have nothing to loose;the lower class.
   
Loading...