Jussa Ismail na Doyo Hassan Doyo LIVE On Star TV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jussa Ismail na Doyo Hassan Doyo LIVE On Star TV

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yahya Mohamed, Jan 8, 2012.

 1. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Greetings Wadau, mud a punde tutakuwa hewani Kama tulivyoahidi kupata version ya upande wa pili katika mgogoro unaozizima na muhimu wa na tafsiri tofauti ndani ya CUF

  Unaweza kuwauliza Maswali Moja kwa Moja na tutayasoma baadaye kidogo
   
 2. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba Jussa kwa niaba ya uongozi wa CUF utuambie kosa kubwa haswa alilofanya Hamad Rashid lililokusudia kuivuruga CUF mpaka kupelekea kufukuzwa uanachama.
   
 3. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Je kama CUF iliwasamehe CCM na kuwa na muafaka,Kwa nini ilishindwa kuwasamehe CUF wenzao?wanaufundisha nini Umma?
   
 4. Mbavu mbili

  Mbavu mbili JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 804
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  Kwa maoni yako,unafikiri nini hatma ya CUF kwa siasa za hapa bongo?
   
 5. jambo1

  jambo1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa kupata fursa hii.,Swali kwa mh Jussa ni kwamba
  (i)pamoja na yote je Hamad Rashid na wenzake hawakuwa na hoja yeyote ya msingi kwa manufaa ya CUF.?
  (ii)Hivi karibuni Mh Jussa amesikika Akitoa shutuma juu ya Baadhi ya viongozi wastaafu(Mwl Nyerere na Mh Sitta).,na akasema kuwa wao ni maadui wa zanzibar..,je anaweza kuwaeleza watanzania ukweli wa hili..?
  Asante sana Star TV
   
 6. Mbavu mbili

  Mbavu mbili JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 804
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  Jusa Ismail, unafikiri binafsi hukuhisi hoja ya aliyekuwa Mh Hamad Rashid ingekivuruga chama cha CUF?

  2. Hoja za Hamad Rashid ni za msingi wa kutaka kuleta mabadiliko ndani ya chama, je unafikiri ni kwa nini Hamad Rashid hakusubiri kipindi cha uchaguzi ?
   
 7. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Yahya, naomba Jussa atuambie uhusiano wake na Rostam Aziz?
   
 8. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Unamaanisha maoni yangu Mimi au unakusudia kuwauliza Wageni studio?
   
 9. Mbavu mbili

  Mbavu mbili JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 804
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  Jusa Ismail na Hassan Doyo, kwa maneno mafupi, utauminisha vipi umma wa kitanzania kuwa CUF haina mgogoro mkubwa wa kisiasa na kimaslahi?
   
 10. n

  ngwini JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Utayauliza haya maswali ya wadau au mbwembwe 2?
   
 11. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #11
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jussa - CUF haijapata barua ya mahakama kuzuia kikao cha baraza la Uongozi kilichofanyika Zanzibar na kumvua madaraka Hamad Rashid na wenzake
   
 12. Mbavu mbili

  Mbavu mbili JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 804
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  Naomba swali hili lijibiwe na Hao wageni hapo studio....
   
 13. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #13
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  You are in wrong forum go back to chit chat
   
 14. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mustakabali wa Doyo kisiasa ni upi?
   
 15. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #15
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Swali lako limefika mkuu
   
 16. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Yahya muulize vipi Muulize Jussa ni kweli Sitta na Nyerere ni maadui wa dola la Zanzibar?
   
 17. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kila kitu wewe jitoe hapa.Chukulia kama kwamba tunamuuliza Jussa na mgeni wako mwengine moja kwa moja.
   
 18. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,526
  Likes Received: 5,674
  Trophy Points: 280
  Swali la msingi kwa Jussa,Cuf bara imekufa,ni mwaka sasa toka uchaguzi upite lakini hakuna mabadiliko je mna mikakati gani kuifufua Cuf bara? Pili huko Znz mnatekeleza ilani ya chama gani? Tatu mnawezaje kukijenga chama chenu mkiwa ndani ya serikali ya umoja mkitekeleza ilani moja na tutawapimaje utendaji wenu kama cuf ili tuwachague 2015 mtutawale nyie tu?
   
 19. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Swali langu kwa wageni studio ni hili?
  Wao wanafikiri upi ni mustakabali wa CUF baada ya HR kufukuzwa na hao wenzake wawili?
   
 20. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Yahya naomba umuulize Jusa, ni kitu gani kimewafanya cuf kumnyima nafasi Hamadi Rashid kujitetea ili kuona kama madai yake ni ya kweli?
   
Loading...