To Me It is the Issue of Accountability!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

To Me It is the Issue of Accountability!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by currentx, Jan 8, 2012.

 1. c

  currentx New Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  This is what for time immemorial we had failed to do!! We see it now and all hell is loose! What cdm, Nccr and now Cuf are doing will translate as a milestone towards the long awaited principles of accountability! Fine, hawa jamaa inawezekana wameonewa, mimi ninaliona tofauti, kwa nini hatuko tayari kukubali uwajibishwaji wa wazembe na wapenda madaraka wakati hili ndilo tatizo linalotutafuna? Every time kunapotokea re-shuffle, sanctions na sacking, tunakimbilia kuwa kuna uonevu ndani yake, especially by focusing on how skillful the victims can blow their trumpets! Hii inashangaza kidogo. Huu tuuone kama mwanzo mzuri wa uwajibikiaji katika institutions zetu, whether za kisiasa au vinginevyo.
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu mimi napata tatizo na definition ya wapenda madaraka. Wapenda madaraka ni wepi? Yule mwenye madaraka ambaye hataki mtu mwingine aonyeshe nia ya kuyataka madaraka aliyonayo huyu wa kwanza? Au mpenda madaraka ni huyu ambaye anataka/anaonyesha nia ya kutaka kugombea madara kidemokrasia ili kumtoa yule wa kwanza madarakani? Mfano Maalim Seiff ana madaraka ya ukatibu mkuu na pia ni makamo wa rais kwnye SUK na huyu RH ni mbunge na anataka kuyanyakua madaraka ya Ukatibu mkuu kwa kugombea lakini kuonyesha nia imekuwa dhambi kuu! Nadhani Maalim ange concentrate kwenye SUK na akaacha madaraka ya Ukatibu Mkuu ili aepukane na ile kitu inayoitwa collective responsibility. Kwa kuwa akiisema serikali kuhusu maamuzi mabaya huku akitumia kofia ya ukatibu mkuu atakuwa amekiuka sharti la collective responsibility lakini kama atakuwa mtu ambaye hayuko SUK basi itakuwa habanwi na hako kautaratibu. Mpenda madaraka ni nani?
   
 3. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Siasa za Hamad si nzuri, Siasa za Jussa si Nzuri!! lakini Hamad hakutendewa haki!!!
  Hili halihitaji Professor kuliona! Hamad is a threat to Shariff and Jussa not a threat to CUF!!! ukimsikiliza Jussa na Hamad huwezi ona sababu ya msingi inayopelekea Hamad kufukuzwa. Labda nitolee mfano wa madiwani wa Arusha jinsi walivyofukuzwa ili kupata picha ya kumfukuza mwanachama bila kuacha mashaka nyuma yake:-
  Wale jamaa walituhumiwa kuendesha majadiliano na ccm kinyume cha utaratibu wa cdm. chama kikaamua kuwaagiza waachie vile vyeo walivyovikwa kwenye baraza la madiwani baada ya yale majadiriano kwani vimepatikana kinyume cha utaratibu. wakakaidi!! waliitwa tena vikaoni kuombwa mpaka wakatumiwa na wazee ili wawashauri bado wakakaidi. Mwasho wa siku walipofukuzwa hakuna mtanzania aliyeinyooshea kidole CDM. kama yupo basi ni sababu za kisiasa tu ambazo hatuwezi kuziuiya!!
  Ukiangalia utaratibu uliotumika kumwondoa Hamad na wenzake utauona una mashaka mengi sana!!
  Ukisikiliza maelezo ya Doyo utaona ni ya msingi sana ambayo hayahitaji mtafiti kutoka UDSM kuyathibitisha!!!
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuwaondoa waasisi kwenye chama huwa ni shughuli! Hapa TZ hisyoria inaonyesha kwamba ni wachache sana waliondoka ceremoniously kuyoka kwenye vyama vyao walivyoviasisi lakini nao pia.walihakikisha wanaweka watu wao! Mfano ni Nyerere na Edwin Mtei.
   
 5. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  .......yote yanawezekana kuhusu HR, kuonewa ama kinyume chake, lakini kilichomponza huyu ni staili yake ya ukosoaji as if yeye sio sehemu ya tatizo ndani ya chama, achilia mbali matanio ya uongozi ndani ya chama; he deserved a ban!!!!!
   
Loading...