Chadema, CUF fanyeni Primary Election kwa ajili ya Kumchagua Rais 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema, CUF fanyeni Primary Election kwa ajili ya Kumchagua Rais 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Haki, Jan 8, 2012.

 1. H

  Haki JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawashauri Chadema au CUF kufanya Primaries election ktk Mikoa yote ya TZ mwaka 2013-14 ili kumtafuta mgombea rasmi wa uchaguzi wa mwaka 2015.

  Chadema-CUF kama mtafanya hivyo, mtaweza kujenga misingi imara ya Demokrasia ktk vhama vyenu , also pia kwa TZ ujumla. Kuna mazuri mengi ambayo yatatokea iwapo Chadema au CUF watafanya hii prmaries election.

  Kutakuwepo na Debate miongoni mwa Wanachadema au CUF. Hii itasaidia kuonesha knowledge ya viongozi wetu wa baadaye ktk masuala ya uongozi.

  Also, WTZ watewza kuona jinsi Demokrasia inavyokuwa ktk nchi. Itasadia kujenga trust miongomoni mwa WTZ.

  Itawapa pressure CCM, ambapo baadaye itabidi ifanye kama vile walivyofanya Chadema-CUF.
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nimeidharau post yako kwa kuhusisha Cuf chama unachojua fika kina mgombea wa milele Lipumba.Pili unafahamu fika Cuf ni chama kinachotetea tu maslahi ya Zanzibar.Tatu unajua Maalim Seif ameshasema hapatakalika kama Rais hatatoka Zanzibar.In addition to that Cuf ni ccm B
   
 3. H

  Haki JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Nimeielewa point yako. Even though, CUF ni chama cha ZNZ tu, still, bado is not too late for them, wanaweza kuimplement hii strategy kuchange. Issue siyo kutawala tu, bali ni kujenga misingi bora ya demokrasia kwa nchi yetu.
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu usiwadanganye. Hiyo michakato imeidhuru CCM kwenye ubunge. Demokrasia yetu bado changa haijafikia ya Amerika. Hizo primaries zinaweza kuvisambaratisha vyama vyetu.
   
 5. Hossam

  Hossam JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 2,367
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  Kaka huo ni mfumo wa kmagharibi na nina hakika unayo point ila encoding ndio tatizo lako. Na wewe nakujulisha kwamba hizo primaries
  hazina maana kwa taifa kama Tanzania kwa maana hii, gharama ni kubwa mno kutekeleza hili, siasa za tz ni changa mno kufanya haya, ukubwa aa tanzania na uhitaji wa primaries haviendani, katiba za vyama vyote zimaelezea utaratibu husika na mwisho achana na umagharibi utaharibikiwa, ona wenzako wanataka sasa ushoga na usagaji uhalalishwe, wewe una maoni yepi?

  Pangu Pakavu.

   
Loading...