SAKATA la uuzaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), limezidi kupamba moto baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh, kuwataja vigogo wapya waliohojiwa na...
SERIKALI imeweka bayana mkakati mpya wa muda mfupi na mrefu utakaosaidia kupunguza msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jana baada ya kumaliza...
Na Ally Saleh
Katika hili nahisi tendwa amepotoka kisheria na halikadhalika Jaji Werema amepotoka.tuanze na Tendwa. hoja ya tendwa ni kuwa kufukuzwa kwa hamad rashid ni hasara kwa taifa kwa...
waziri wa fedha mkulo katoa mpya leo kwenye hotuba ya bajeti eti kutakuwa na national pay day ambapo watumishi wote katika serikali idara na taasisi zote wataapokea mshahara dirishani eti anadai...
Mh Hamadi Rashid katueleza hati ya mahakama aliiwasilisha kwa Maalim Seif lakini mkutano ukaendelea na kumfukuza yeye na wenzake kadhaa.
Mwanasheria mkuu katika serikali ya Jamhuri katueleza kuwa...
Leo jioni hii nccr mageuzi walikuwa na mkutano katika stand ya tax mjin kasulu. Mwenye jimbo la ksl mjini mh machali hakuhudhulia bali mhe. Zaituni pamoja na diwan wa kasulu mjini na wale madiwan...
Nafasi ya uongozi (UBUNGE) kama ya kina Waheshimiwa Mnyika, Mtemvu, Ndungulile, Zungu, ni moja na nafasi za juu sana za uongozi katika Jamhuri yoyote ile. Wabunge wanawakilisha MATUMAINI, HOFU...
Naomba kupata ufafanuzi kidogo wanaJF hivi ni kweli hakuna Mwanasheria mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?Na kama ndio mbona twaogopa kutaja Tanganyika?Ni kweli hatuna Serikali ya...
tangu matokeo ya uchaguzi mkuu 2010 yatangazwe, kiukweli nimekuwa sceptical all along na zile allegations kuwa eti matokeo yaliyachakachuliwa in favour of CCM.
nimesoma article moja kwenye raia...
Wanajf,
Naombeni msaada hata wa mawazo.
Serikali imetangaza kuwahamisha wakazi wa mabondeni kwa sababu tu ya mafuriko ya Dsm. Labda tu nieleze jambo moja, tayari asilimia kubwa ya nyumba hizi...
Katika waraka wangu wa kwanza kwenu niliwapa mrejesho kuhusu uwakilishi wa Mbunge katika mkutano wa pili wa Bunge. Nawaandikia waraka huu "Uhuru na Mabadiliko" katika mwaka 2011 wa kumbukumbu ya...
Mwaka 2009 PPF HQ walitoa fedha kiasi cha shilingi milioni 200 kuwalipa Mtibwa sugar kwa lengo la kuwalipa staff au vibarua wa mtibwa sugar, lakini kutoka na mahusiano mabaya kati ya Management ya...
Wanajamvi,
Nimepigiwa simu na Ndugu yangu anayeishi Dodoma mjini akinihabarisha kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe anajenga Hoteli kubwa sana ya Nyota 5 Mjini Dodoma, eneo liitwalo KISASA.
Hili ni...
Nimefuatilia kwa makini mijadala mbali mbali ya Katiba na hata ya kijamii, nimegundea suala la elimu anayopaswa kuwa nayo kiongozi halitajwi sana, hii inaweza kuwa inachangiwa na viongozi wenyewe...
Habari zenu wana JF,
Naomba nisionekane mdini kwa topic yangu ya leo kwani kwa kipindi cha miezi mitatu sasa magazeti yamekuwa yakimripoti askofu mkuu wa jimbo la Dar es Salaam, Cardinal Pengo...
nimefuatilia sokomoko na Mh.Magufuli na kauli zake dhidi ya wakazi wa Kigamboni, likanikumbusha kauli zingine tata kuwahi kutolewa huko nyuma, nikadharau kuwa hayo ni malipo kwetu dhidi ya ujinga...
Ndugu wanajamvi kila kukicha viongozi wa nchi yetu wanaulizwa kwa nini Tanzania ni nchi tajiri lakini raia wake ni maskini wanajibu kuwa na wao hawajui, kinachosikitisha zaidi ni pale wanapokuja...
Jana katika taarifa ya habari ya TBC1 saa 2usiku nilistaajabu kidogo kusikia Mkuu wa kikosi cha wanamaji Meja jenerali Omari akilijuza Taifa sababu za kupanda kwa bei ni uharamia katika bahari...