national Pay day kwa watumishi serikalini

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
waziri wa fedha mkulo katoa mpya leo kwenye hotuba ya bajeti eti kutakuwa na national pay day ambapo watumishi wote katika serikali idara na taasisi zote wataapokea mshahara dirishani eti anadai kuwa itafanywa kama surprise haitatangazwa kwa lengo la kudhibiti mishahra hewa anacheza kweli yaani kwa gegrafia ipi hapa tz hiyo kitu itawezekana wote walipwe siku moja!!!anacheza kweli! atashangaa mishahara yote itakapolipwa hakuna mwizi atakayekamatwa kwa ndoto hiyo.mi sielewi mawazo mgando haya nani anayatoa hivi wataalamu hatuna hadi turudi kwenye njia za ujimaza kulipana mishahara!!USHUUZI:mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
 
duuuuuu imekuwa kweli januari hii ndo hii kitu inafanyika wafanyakazi mkae mkao wa kupigika salary februari hivi ktkt ndo mtapata tena kwa foleni za maduka ya kaya
 
Back
Top Bottom