Naomba Ufafanuzi: Nani mwanasheria mkuu wa Tanganyika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Ufafanuzi: Nani mwanasheria mkuu wa Tanganyika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njenjema, Jan 11, 2012.

 1. N

  Njenjema Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kupata ufafanuzi kidogo wanaJF hivi ni kweli hakuna Mwanasheria mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?Na kama ndio mbona twaogopa kutaja Tanganyika?Ni kweli hatuna Serikali ya Tanganyika?Kama ni hivyo mbona Tundu Lissu alipingwa sana alipoleta hili suala bungeni?
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Hakuna Mwanasheria wa Tanganyika, kuna Mwanasheria wa Tanzania!
   
 3. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Nnachofahamu binafsi ni mtaganyika!nahitaji nchi yangu Tanganyika na serikali yake!hv iweje upande mmoja uwe na serikali na mwingine usiwe nao?eti Tanzania bara!which kind of country unrecognized in the world map is this?tunataka katiba ya tanganyika,rais wa tanganyika na mwanasheria nchi!wale wanaojiita wanasheria wa tanganyika ni wa nchi gan wakati nchi yao haipo?badilikeni wapi!
   
 4. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,145
  Likes Received: 3,332
  Trophy Points: 280
  Weremya .
   
 5. N

  Njenjema Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhe Jussa kasema hakuna mwanasheria wa Muungano sababu sheria si suala la Muungano wakuu au mwaonaje?
   
Loading...