NEC ilichakachua matokeo 2010? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEC ilichakachua matokeo 2010?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by M-mbabe, Jan 11, 2012.

 1. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,992
  Likes Received: 3,742
  Trophy Points: 280
  tangu matokeo ya uchaguzi mkuu 2010 yatangazwe, kiukweli nimekuwa sceptical all along na zile allegations kuwa eti matokeo yaliyachakachuliwa in favour of CCM.

  nimesoma article moja kwenye raia mwema la leo inayoonyesha kuwa kwenye jimbo la Tumbe kule Pemba eti CDM walishinda kwa 83%, CCM 9% na CUF 1%. nimekwenda kwenye web site ya NEC nikayakuta haya matokeo yamebandikwa hapo (The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage).

  sasa nimeamini!

  something needs to be done. don't know what/how though.....
   
 2. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,992
  Likes Received: 3,742
  Trophy Points: 280
  mods vipi mbona mmechakachua title ya thread???

  it should read "it's official - NEC ilichakachua matokeo 2010!"
   
 3. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wewe ndio umejua leo? Unadhani wakina Slaa wanakichaa au wanaropoka hovyo (kama ambavyo we are forced to believe)???
   
 4. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sijakuelewa labda uiweke vizuri mod yako
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ccm wezi wa kura.
  wezi wa mali ya umma.
  sasa tunawasubiri kwenye kona wakiingia tu........................
   
 6. k

  kiche JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nami nimeona mkuu,Mbona mambo haya yapo wazi?hata ndani ya hao wanaojiita usalama wanasema ni kweli kulikuwa na uchakachuaji mkubwa,swali nalojiuliza je huu uchakachuaji utakoma vipi?kumbuka 2015 si mbali hata kidogo,wakati serikali inaangaika na kukamilisha ahadi ni bora vyama vya upinzani vikajijenga pande zote za nchi,nakumbuka kipindi kile mawakala nchi nzima walikuwa wanatakiwa kama 53000 hivi,ni bora mawakala wakaanza kufanyiwa screening kuanzia sasa na kuendelea ili kuwa na uhakika kwanza wa ulinzi wa kura.kwenye mawakala hapo ni tatizo kubwa na hapo ndipo kwa sehemu kubwa uchakachuaji uchukua nafasi kubwa,tofauti na kudhibiti hapo itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu!
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Lubuva atalimaliza
   
 8. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Umechelewa sana kutambua. Nadhani sasa utakuwa umeelewa ni kwanini wabunge wa cdm walitoka bungeni kwenye hotuba ya "rais wa nec!"
   
 9. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa ajili ya rekodi ..inabidi tuliweke wazi ....

  Tumbe Results.JPG
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  khee tatizo letu waswahili mambo yakishapita tunasahau na hili lilishapita kitambo tu na raia wameshasahau..
   
 11. b

  busar JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Duuuu.....HII KALI KWELIKWELI,
   
 12. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Unaongea mambo too hypothetical, kutokana na muundo wa tume (NEC) na katiba yetu, mawakala wana ubavu wa kulinda kura za ubunge na u-diwani TU, mawakala hawana ubavu wa kulinda kura za u-Rais. NEC ni Mungu mtu inaweza kutangaza matokea ya kura za u-Rais bila hata kuyapata kutoka majimboni.

  Huu ndio ukweli mchungu!
   
 13. b

  busar JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mods mnaonaje mki isticky ?
   
 14. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,992
  Likes Received: 3,742
  Trophy Points: 280
  sawa, lakini..............

  akisema slaa inachukuliwa kama siasa - si rasmi.

  inapokuja official statement ya NEC - this is totally different. ni ushahidi unaoweza kuwa na substance kisheria!
   
 15. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Jamani NEC hawakuchakachua kitu! walikosea tu kuandika hayo majina ya vyama, sehemu ya Chadema inatakiwa iwe CCM na sehemu ya CCM inatakiwa iwe Chadema.
   
 16. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,992
  Likes Received: 3,742
  Trophy Points: 280
  sawa...lakini je CDM walikuwa wana ushahidi rasmi kutoka NEC ambao wangeweza kuuonyesha kwa yeyote? labda ni mimi tu nilikuwa siko aware kwani nilichokiona ni majedwali tu ambayo they could have originated from anywhere!

  this latest revelation is outrageously official and could have a legal bearing.
   
 17. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,992
  Likes Received: 3,742
  Trophy Points: 280
  yeah right!
   
 18. Guyton

  Guyton JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mmmhhhh......ndomana huwa naamini hii nchi ni mkusanyiko wa vilaza.
  katika hali ya kawaida ilibidi hata hizo record waziweke kama walivyochakachua, lakini kwa vile mchakachuaji mwenyewe kilaza, aliyechakachuliwa kilaza, maisha yanaendelea as usual.
   
 19. c

  chumvi2012 Member

  #19
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dk Slaa, alishinda uchaguzi 2010
   
 20. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0


  Habar hii imenikumbusha mbaaaali sana. Enzi hizo wakti nasoma sekondari. Nakumbuka kulikuwa na mechi za mashindano ya mpira wa kikapu baina ya Tambaza na Forodhani kwenye viwanja vya Gymkhana. Kumbuka hiyo sio tambaza ya leo. Hiyo ni Tambaza ya Head master Mzee Kalumuna. Na Forodhani ya Mama Kamsin, Azania ya Kisamo, Jangwani ya Tegisa. n.k

  Nakumbuka mechi ilikuwa kali sana na ktk robo ya mwisho kuna mtu alitamka maneno kama hayo hapo juu japo alitumia lugha nyingine.

  Mgongo wa Chadema kujipenyeza mpaka pemba kupitia waandishi makanjanja. Haya sie yetu macho. Lakin mnakumbuka kura za maruhani? kazi kwenu.

  Jiandaeni jimbo la wawi basi tuwaone.

   
Loading...