NCCR Kasulu wamezomewa na wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NCCR Kasulu wamezomewa na wananchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kajunju, Jan 10, 2012.

 1. k

  kajunju JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Leo jioni hii nccr mageuzi walikuwa na mkutano katika stand ya tax mjin kasulu. Mwenye jimbo la ksl mjini mh machali hakuhudhulia bali mhe. Zaituni pamoja na diwan wa kasulu mjini na wale madiwan wa vijijin wameudhuria mkutano huu.zomeazomea imemkumba mh zaitun buyogera baada ya kueleza sababu za kumfukuza kafurila. Leo nccr tangu waingie madarakan wameonyeshwa na wananchi kuwa uongoz wa juu wa nccr ni wasanii. Nawasilisha
   
 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,364
  Likes Received: 2,990
  Trophy Points: 280
  Pamoja na mkutano wao ama kwa hakika wananchi dhahiri shahili walikerwa na KATIBU MKUU wa NCCR MAGEUZI TAIFA Ndg SAM RUHUZA kushindwa kuwaelezea kwa ufasaha walivyomfukuza KAFULILA.Hapo ndp zomeazomea zilipoanzia mpaka viongozi wote kuishiwa pozi kwa kuzomewa mpaka kushindwa kuwahutubia wananchi.
   
 3. m

  malagarasi Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha uwongo wewe kafulila, mbona mimi nilkuwa kwenye mkutano huo na wala hakuna mambo hayo unayotueleza hapa. Umeyatoa wapi? tunajua ni mwendelezo wa sanaa na mazingaombwe ya kafulila ya kuwahadaa watu kuwa nakubalika sana, huyu kafulila si anataka kuingia APPT maendeleo, nadhani hata mzirai atakutimua. Huna adabu, uliandaa watu kule arusha watangaze magazetini kuwa vigogo wa nccr wahamia chadema, hivi kweli nccr kuna cheo cha katibu mwenezi wa mkoa. KAFULILA umechanganyikiwa, na bado ni mwanzo, maana hata degree hauna sasa sjui atakuajili nani? Tueleze uliipata wapi degree ya BBA?
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  limbukeni utamjua tu,mada ni nccr (makameruni) kuzomewa,we unamshambulia kafulila,huoni kuwa huo ni umaskini wa fikra?utahangaika sana kumchafua kafulila lakini jua kuwa yule jamaa yuko juu,hachafuliki.sina maslahi yoyote lakini anakubalika,mtaendelea kuzomewa kila mtakapopita...HIYO NDIO ADHABU YENU...........VIPANGA NYIE.
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  nccr lazima isambaratike na hiki kipindi cha miaka 5 kinawatosha sana,2015 chinjilia mbali wehu nyie.
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  huyo mental fresh ruhuza ambaye hajawahi kugombea hata ujumbe wa nyumba kumi leo aweze kuongea mbele za wanaume kweli.
  kwanza ameolewa? kuna dume apa linatafuta mke kama kuna mtu ana namba yake tuwekeeni apa.
   
 7. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,364
  Likes Received: 2,990
  Trophy Points: 280
  naamini kbs hukuwepo,ina maana hukuona sam ruhuza anazomewa na zaituni mbunge?
   
 8. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wadau tukio hili limetokea leo jioni hapa kasulu mjini stand ya taxi ambapo huwa inafanyika mikutano mingi ya kisiasa, Katibu mkuu Samweli Ruhuza na Zaituni Buyogera ambae ni mbunge wa nccr ktk jimbo la kasulu vijijini walizomewa na wananchi pale waliposema kafulila alikuwa ni mbunge mhuni na mvuta bangi ndo maana wakamfukuza.
  Ilikuwa kubwa sana

  Source: Mimi mwenyewe nikuwepo
   
 9. Izack Mwanahapa

  Izack Mwanahapa JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 497
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
   
 10. k

  kiche JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Aliwahi kugombea ubunge jimbo la ngara mwaka 2005 akashindwa na prof Banyikwa,kuhusu suala la ubishi kati ya kafulira vs Ruhuza/Mbatia hapo sina mchango zaidi,tatizo ni katiba na kwa vile suala hili linawasaidia ccm katika kuwafunga midomo wabunge wao sina uhakika kama suluhisho litapatikana kwa hicho kinachoitwa katiba mpya
   
 11. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Malagarasi wewe ni ndugu moja na malaria sugu?
   
 12. K

  Kigoma 2015 JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kwanza itabidi tuanze kuhoji uraia wa Sam Luhuza, ulishawahi kujiuliza ni kwanini hataki hata kugombea ubunge au udiwani hapa Kigoma?
   
 13. April

  April Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wewe utakuwa Machali tuu si bure, unaacha kumtoa mtoto na baba yako MIREMBE unamwandama kafulila, badala uungane nae muisogeze mbele Tanzania we unakalia kuropoka tuu, wewe nawe unaelekea mirembe siku si nyingi,...huna jipya fujo tuu unazo hapa hebu leta hoja za mada za msingi, sio fitna za makundi hazikufikishi popote
   
 14. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Kweli JF ni zaidi ya social netiweki...
   
 15. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  wapi ndugu HASHIM RUNGWE........................mzee wa au siiiio maseeeeela
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mzee angalia art ya uandishi
   
 17. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Malagarasi,
  Ni heri kukaa kimya kuliko kupotosha wana Jf. Acha wivu na chuki zisizo na maana na Kafulila. Jana viongozi wako wa NCCR wamezomewa sana tu..habari ndiyo hiyo! Mimi si mshabiki wa Kafulila lakini sipendi watu waongo na wazushi kama wewe.
   
 18. k

  kajunju JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
   
Loading...