Serikali isitumie vyombo vya habari kumnyamazisha Cardinal Pengo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali isitumie vyombo vya habari kumnyamazisha Cardinal Pengo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ADAM MILLINGA, Jan 11, 2012.

 1. ADAM MILLINGA

  ADAM MILLINGA Senior Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana JF,

  Naomba nisionekane mdini kwa topic yangu ya leo kwani kwa kipindi cha miezi mitatu sasa magazeti yamekuwa yakimripoti askofu mkuu wa jimbo la Dar es Salaam, Cardinal Pengo kujiusisha na biashara za madawa ya kulevya.

  Cha kujiuliza sasa ni kama polisi wameshapata uthibitisho wa jambo ilo kwanini wasichukue hatua badala ya kutumika vyombo vya habari kumchafua kila siku?

  Kwakuwa amekua akikemea serikali kwa uovu unaofanya ndo leo waseme wanamjua kuwa anajishughulisha na madawa ya kulevya?

  Jamani serikali tuache mambo hayo tumeanza wenyewe kwa wenyewe sasa mnaingilia viongozi wa dini? Mlianza na Dr. Rwakatare mliishia vipi? Ifike kipindi serikali ikubali maovu yake na sio kuyakataa kwa kutaka kuziba watu midomo, maoni yangu kwa askofu ni kutaka kumwambia, askofu Pengo tunakuamini na pia mchezo mchafu wa watawala wa Tanzania tunaujua awajauanza kwako usikome kuwaambia ukweli kwani panapo ukweli uongo hujificha.

  Siku njema members wenzangu.
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  JK anaweweseka tu kashikwa pabaya .Wanatumia magazeti wacha Pengo naye atumie hayo hayo wakutane katikati.
   
 3. a

  adobe JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Nchi inaongozwa ki masaburi.
   
 4. D

  Dopas JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Magazeti nayo si waganga njaa wa sisiemu hao?
   
 5. P

  PACHOTO JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Hana jipya huyo Pengo wenu TEJA mkubwa huyo
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwani pengo ana watoto wangapi?
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280

  Na Mufti wenu naye yumo.
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hii issue iko wazi, Serikali ya JK inafanya makusudi kumchafua Cardinal Pengo, hakuna asiyejua kuwa watoto wa mamdogo ndiyo wafanyabiashara wakubwa wa madawa ya kulevya.
   
 9. G

  Godwine JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  hivi magaidi mnatumia njia gani kujificha wamarekani wasiwakamate.....kwani nasikia ulihusika na shambulio la Yemen, pia nasikia ni wewe uliyemuua polisi wa Tanzania kwenye maandamano ya CUF 98 ndio maana ukakimbilia Oman.

  sijui kwanini utafutwi na mahakama ya mauaji ya haraiki
   
 10. ADAM MILLINGA

  ADAM MILLINGA Senior Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we pachoto kwanza ni mgeni kwenye forum hii sikusema pengo kwa sababu mimi ni mkristu no bali hata kama wange msingizia mufti ningewakemea kwan serikali yetu haina dini hivyo isituchonganishe na viongoz wetu wa dini haijalishi wakristo au waislamu ila tu wote ni viongozi wa dini
   
Loading...