Baba kanipa swali mama kanipa jibu ili niulizwe swali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba kanipa swali mama kanipa jibu ili niulizwe swali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nitonye, Jan 11, 2012.

 1. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Ndugu wanajamvi kila kukicha viongozi wa nchi yetu wanaulizwa kwa nini Tanzania ni nchi tajiri lakini raia wake ni maskini wanajibu kuwa na wao hawajui, kinachosikitisha zaidi ni pale wanapokuja na kauli ya kwamba usiulize Tanzania imekufanyia nini bali jiulize umeifanyia nini Tanzania, hii kwangu mi naona si sawa kwa sababu sisi wananchi tunatakiwa tuwezeshwe
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kwahiyo ndiyo "
  [h=2]Baba kanipa swali mama kanipa jibu ili niulizwe swali[/h]
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Jeikei kashajua kwa nini sisi watanzania maskini na alilitolea ufafanuzi mwishoni mwa mwaka,nakubaliana na wewe jamaa alikua ajui kwa nini sisi maskin ila nafurahi kwamba kashajua na tatizo ni uwekezaji tu wakutosha hakuna ndo alivyosema,sasa nauliza mkuu wa kaya anasema uwekezaji hasa wa kutoka nje hakuna katika nyanja zipi(sectors)? Madini tumewekeza,mawasiliano tumewekeza,kilimo tumewekeza,au mi ndo sijaelewa anavyozungumzia tatizo uwekezaji?
   
 4. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  yes
  Mambo house girls and boys wanatoka nje ya nchi siyo mchezo. Elimu tuna wadau kutoka nje........
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Watanzania wamebaki na kazi moja tu ambayo kwa sasa haihitaji qualification kuipata. baada ya muda itahitaji degree!
   
Loading...