Madudu mengine yatokea PPF yaani sehemu ya Shs. 200 Milioni... [Proof needed]

Status
Not open for further replies.

RasJah

JF-Expert Member
Nov 5, 2009
703
64
Mwaka 2009 PPF HQ walitoa fedha kiasi cha shilingi milioni 200 kuwalipa Mtibwa sugar kwa lengo la kuwalipa staff au vibarua wa mtibwa sugar, lakini kutoka na mahusiano mabaya kati ya Management ya Mtibwa Sugar na hao Vibarua, Utawala wa Mtibwa Morogoro ukaomba msaada kutoka PPF Morogoro chini ya Meneja Meshaki kuwasaidia kuwalipa hao staff. Zoezi liliendelea la kuwalipa hao wafanyakazi lifanywa na meneja meshaki mwenyewe wakati ni kosa kwani muhasibu wa PPF Kamanga alikuwapo financial regulation ilikiukwa shika shaka hiyo ilikuwa interest kubwa kwa Meshaki aweze kuvuta hili fuba kiana hii ni criminal offense. Sasa wakati huyu meneja meshaki amepata uhamisho salio la fedha lililobaki shilingi milioni 7 ambazo alimkabidhi Kamanga aweke kwenye safe ya Shirika lakini hatujui kama kweli huyu meneja alikuwa mkweli, Meneja aliyefuata alikuwa Ng'itu ambaye ktk makabidhia ya ofisi hakupewa taarifa juu ya hizo pesa mpaka hapo baadaye na Mhasibu kama ambaye amekuwa victim kwa upotevu wa pesa hizo yaani amesimamishwa kazi mwezi mmoja lakini mtuhumiwa namba moja 1 meshaki yuko huru ila eti amekuwa shahidi dhidi ya Kamanga hapo kuna haki?

Sasa katika mismanagement ya hiyo fedha anatafutwa mchawi au paka kufungwa kengele ambaye ni Kamanga! Uchambuzi unaonyesha haya madudu yanatokana na uongozi mbovu wa PPF na Mtibwa Sugar. Kwani mkeo au mume anapokuwa mgomvi huwezi kusema samahani naomba unakae nae kwa muda watu watachakachua tu!
 
Mwaka 2009 PPF HQ walitoa fedha kiasi cha shilingi milioni 200 kuwalipa Mtibwa sugar kwa lengo la kuwalipa staff au vibarua wa mtibwa sugar, lakini kutoka na mahusiano mabaya kati ya Management ya Mtibwa Sugar na hao Vibarua, Utawala wa Mtibwa Morogoro ukaomba msaada kutoka PPF Morogoro chini ya Meneja Meshaki kuwasaidia kuwalipa hao staff.

Zoezi liliendelea la kuwalipa hao wafanyakazi lifanywa na meneja meshaki mwenyewe wakati ni kosa kwani muhasibu wa PPF Kamanga alikuwapo financial regulation ilikiukwa shika shaka hiyo ilikuwa interest kubwa kwa Meshaki aweze kuvuta hili fuba kiana hii ni criminal offense. Sasa wakati huyu meneja meshaki amepata uhamisho salio la fedha lililobaki shilingi milioni 7 ambazo alimkabidhi Kamanga aweke kwenye safe ya Shirika lakini hatujui kama kweli huyu meneja alikuwa mkweli, Meneja aliyefuata alikuwa Ng'itu ambaye ktk makabidhia ya ofisi hakupewa taarifa juu ya hizo pesa mpaka hapo baadaye na Mhasibu kama ambaye amekuwa victim kwa upotevu wa pesa hizo yaani amesimamishwa kazi mwezi mmoja lakini mtuhumiwa namba moja 1 meshaki yuko huru ila eti amekuwa shahidi dhidi ya Kamanga hapo kuna haki?

Sasa katika mismanagement ya hiyo fedha anatafutwa mchawi au paka kufungwa kengele ambaye ni Kamanga! Uchambuzi unaonyesha haya madudu yanatokana na uongozi mbovu wa PPF na Mtibwa Sugar. Kwani mkeo au mume anapokuwa mgomvi huwezi kusema samahani naomba unakae nae kwa muda watu watachakachua tu!


Yaani kutokana na mahusiano mazuri kati ya PPF na Mtibwa, PPF wakaamua kuwalipa vibarua wa Mtibwa? Embu fafanua hapo, haya yalikua ni malipo ya pensheni au mishahara? Na hizi hela milioni 200 lilitolewa tu fungu kwa huyu meneja akagawe bila kua na list ya vibarua wanaotakiwa kulipwa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom