Result from NEC: MKOANI jimbo la Chambani pia Chadema ilichukua

Mtz-halisi

Member
Nov 28, 2009
47
20
results.jpg

results from nec
 
Mmmmh......kigugumizi, hiyo web kama vp nec ipotezeeni coz inawaharibia. Na nyie wazee wa invincibles a.k.a nyoka a.k.a usalama haya matusi mwayaacha tuuuuuu....? Du?
 
Hawa wagombea wako wapi?kwanini wasichukue hizi evidence na kuwapeleka mahakamani wahusika?!au wameshapewa chao kuwatuliza?
 
Aisee hii imekaaje, maana nimeangalia kuhakikisha kwenye web ya nec ndivyo inavyoonekana, kuna makosa ya kiufundi au? kwa kwa sasa mbunge wa Chambani ni nani?
 
Back
Top Bottom