Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika utafiti uliofanywa na the Economist Intelligency Unit Tanzania imeshika nafasi ya 90 kati ya nchi 165 duniani. Kwa upande wa Afrika Mashariki Tanzania imeshika nafasi ya kwanza kwa...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Greetings wanaJF Awali ya yote nichukue fursa hii kuungana na wanaJF wote, familia ya marehemu Regia Mtema na watanzania walioguswa na msiba wa mpiganaji na mwanaforum Regia. Binafsi ulikuwa...
7 Reactions
116 Replies
8K Views
Sunday, January 15, 2012 MWANA-CCM ALIYEMWAGIWA TINDIKALI IGUNGA AREJEA NCHINI BAADA YA MATIBABU INDIA MKAZI wa Igunga, Kada wa CCM, Mussa Tesha aliyekuwa katika matibabu nchini India baada...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Wakati huu ambapo tupo kwenye mchakato wa kuandaa katiba mpya, naomba wanaJF mnisaidie kujua ulazima wa mfumo unaoruhusu viongozi wetu kuwa na nyadhifa katika mihimili miwili tofauti ya dola kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani katika taarifa ya habari ya TBC katika habari kuhusu wananchi wa kilombero kuisihi serikali iwaache wamalizie msimu huu wa kilimo kabla hawajaondoshwa kama ulimuona yule mama aliyekuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TANZIA Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepatwa na majonzi makubwa na kinasikitika sana kwa kifo cha Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Taifa, Mheshimiwa Regia Mtema ambaye pia ni...
19 Reactions
238 Replies
21K Views
Ndugu zangu wanaJF, Nawapa pole wote walioguswa na msiba mkubwa wa mpiganaji mwenzetu marehemu Dada Regia Mtema. Kwa heshima, nimeona ni vema nianzishe uzi mahsusi utakaojumuisha michango ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haujapita muda mrefu sana tangu polisi mkoani Singida walipofukuzwa kwa kosa la kumbambikiza kesi raia na kupokea rushwa ya milioni tisa. Leo wamekamatwa tena kwa kosa lile lile la kumbambikiza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Josephine Mushumbusi, amezungumza kupitia Mwanasheria Mkuu wa Chadema, ambaye pia ni wakili wa Dk Willibrod Slaa, Tundu Lissu, akaviambia vyombo vya habari kuhusu tuhuma zinazowakabili yeye na Dk...
3 Reactions
264 Replies
25K Views
Meya wa kichina,juzi alikodisha wahuni kuzuia mkutano wa Operation zika ccm,Jenga CHADEMA.Akizungumza jana kwenye mkutano huo wa hadhara,Kamanda wa vijana CHADEMA mkoa,NANYARO ambaye ndie mwasisi...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Katika Taifa lolote Viongozi ndio wanaobeba maono na dira ya nchi. Ubora wa Taifa lolote lile unategemea sana maarifa na busara za Viongozi wao. Kwahiyo Aina ya nchi, ujenzi wake, mpangilio wake...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Nimepitia taarifa za kidogo cha mh. Mbunge Mtema, katika gazeti la habari leo si taarifa iliyopewa kipaumbele jambo ambalo nadhani si Sawa na hasa nikilinganisha na taarifa iliyopewa kipaumbele...
1 Reactions
97 Replies
9K Views
Na Salim Said “MIMI ni mlemavu wa kimaumbile wala si mlemavu katika kazi, lakini kuna watu ni wazima kimaumbile, lakini ni walemavu kwenye kazi,” hivi ndivyo anavyoanza Regia Mtema katika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna taarifa kuwa Mbunge wa viti maalum Regia Mtema (Chadema) juzi aligoma kutii amri ya OCD ya kuvunja mkutano wa ndani alipokuwa anazunguza na wananchi wa Kilombero kuhusu sakata lao la ushuru...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Nimepita kwenye facebook wall ya katibu mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi nikakuta picha hii akiwa nahutubia mkutano wa vijana wa demokrasia duniani huko Sydney Australia kwenye ukumbi wa bunge...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Wasira ali zomewa na wananchi katika mkutano aliyo ualika kuhusu katiba mpya maudhulio yali kuwa afifu watu wasio zidi hamsini katika mkutano cha ajabu wakati akiendelea kuelezea watu wakaanza...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, Mkuu wa Mkoa wa Singida ameagizwa na ofisi ya Waziri Mkuu kuwa azunguke kwa wananchi katika mkoa wake kufuta kauli ya kuwa Mkoa wa Singida watu wasilime mahindi kama...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wapendwa wanajf wenzangu nimesikitishwa sana na gazeti la majira kuipa kipaumbele habari
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Akukweti, Chacha Wangwe, Sarome mbatia, Regia Mtema....list inaendelea...wapo walio koswa koswa..Mudhihir, Mwakyembe....list inaendelea. Mia
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Prof. Mark Mwandosya alivyochambua siasa za wanachama wa CCM mkoani Mbeya,'' kutabiriana kifo, sijui huyu amechoka, mzee apumzike..... n.k ', mbinu za wana CCM kutumia fedha kupata uongozi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…