Madiwani wa Chadema waliofukuzwa uanachama wamefungua kesi Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha, kupinga hatua iliyochukuliwa na chama chao na wanaiomba mahakama kumzuia Mkuruguenzi wa Halmashauri ya...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemteua Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje kuwa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa wa chama hicho. Anajaza nafasi iliyoachwa wazi na...
Baada ya fukuza fukuza ndani ya vyama vya siasa, tulishuhudia baadhi ya watu wasiohusika na migogoro hiyo wakijaribu kulizungumzia swala hilo kwa jinsi walivyoona inafaa, na baadhi yao...
Moja ya sifa kubwa ya chama chochcote makini cha siasa ni uwezo wake katika kufanya maamuzi sahihi kama ambavyo chama hiki kimekuwa kikifanya kwa nyakati zote.
Kumekuwa na suala la kifo cha...
Mbunge wa Wawi, Hamad Rashi Mohamed na wanachama wenzake waliofukuzwa Chama cha Wananchi (CUF), wakitoka nje ya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam jana ambako walikwenda kusikiliza kesi yao ya...
KUFUATIA kifo cha Mbunge Jeremiah Sumari, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeamua mkutano wa kawaida wa Kamati Kuu ya chama uliokuwa ufanyike Zanzibar kuanzia Januari 21, 2012 mpaka...
Mwenyekiti wa POAC, Zitto Kabwe
Leon Bahati
SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati na Madini imeingia tena katika kashfa ya ufisadi wa matumizi mabaya ya rasilimali za umma, baada ya kubainika kuuza...
Mbunge wa Kahama Bw. James Lembeli, akizungumza na wakazi wa Kata ya Igunda, wakati akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Shinyanga jana, wakati wa uchaguzi wa Chama...
Kwanza kulikuwa na Gibons Mwaikambo - huyu alikufa kwa "accident" usiku wa kuamkia siku aliyotaka kutangaza rasmi kujitoa CCM na kugombea ubunge huko Mbeya kwa tiketi ya Chadema, akiwa na uhakika...
katika safari yangu nje ya tanzania nimepita barozi zaid ya kumi na kuna waajiriwa wengi wenye sifa zinazoeleweka na wengi wasiyo nasifa kabisa,hapa sijaelewa watumishi katika barozi hizi...
Wana-CUF mliomo humu, Karibuni katika Thread hii maalumu kwa ajili ya mambo muhimu ambayo tunataka myajibu.Tutawapima kutokana na maelezo yenu. Then tutaviita pia vyama vingine katika thread...
WHATEVER detractors, denigrators and dissidents might say to the contrary, Edward Lowassa is a Man for all Seasons. He is also a man for decisions, no matter whether his decisions are right ...
Nawapa pole wana arumeru kwa msiba wa mbunge wao Mh Sumari. Nilipita eneo moja la ngaramton nikakutana nakijana wa ccm nikampa pole yakufiwa na mbunge wao. Alinijibu ahsante lakin niny CHADEMA...
Ndugu zangu wanajamvi,niwape pole sana kwa misiba yote miwili ya viongozi wetu iliyotukumba hivi karibuni.
Nametakafakari sana mwenendo na mwelekeo wa siasa za Tanzania kwa kupitia katiba na...
Mimi ni mtanzania wa upande wa Bara, nataka kugombea ubunge wa bunge la jamhuri ya muungano kwa tiketi ya CUF, jimbo la uzini, zenji, wadau inawezekana?
Wana-CHADEMA mliomo humu, Karibuni katika Thread hii maalumu kwa ajili ya mambo muhimu ambayo tunataka myajibu.
Tunaanza na CHADEMA na tutawapima kutokana na maelezo yenu. Then tutaviita pia...
Tangia Jussa amtukane Sita, niliamua kufuatilia matamshi yake ya kisiasa, nimegundua kuwa ni mtu wa kuogopwa sana. Baada ya serekali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupeleka pendekezo la...
Mkurugenzi wa mambo ya nje wa CDM ambaye pia ni mbunge wa Nyamagana Ezekiah Wenje jana alifanya mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sengerema ambapo wanachama 50 wa CCM walijitoa katika chama hicho na...
Three top Rwandan military generals and a Colonel were yesterday suspended from the national army and placed under house arrest for alleged indiscipline.
Highly placed security sources told...