CCK ufufuo wa CCJ kimepata usajili baada yakukamilisha taratibu zote.....Hongera sana Bw.Akitanda kwa kukifikisha hapo.Angalizo,ogopeni sana mafisadi wasiwatumie katika harakati zao !!!!!!
Kwakuwa watoto wao wanakwenda hizo St nini sijui na Academy gani sijui hili kwa Waziri hawoni shida kulitamka kwenye majukiwaa na kugeuka kuwa sera. Hawa ni wengi na wakishindwa kumudu elimu hii...
TENDWA ATISHIA KUVIFUTA VYAMA
Na Ratifa Baranyikwa
MSAJILI wa vyama vya siasa nchini, John Tendwa, amesema wanatarajia kuanza mchakato wa kuhakiki uhai wa vyama vya siasa ili...
Kama inavyojulikana mwanasiasa ni "perception"(jinsi jamii inavyokuona) kwa mfano kama watu wanakuona ni fisadi au mwizi hata kimakosa hitimisho ni kuwa hufai kuwa kiongozi, na hiyo ni hukumu...
...Jamaa anaendeleza siasa zilezile kwa kusema haya;
Moja hati ni chama kinachoongoza kwa kuchukua maamuzi magumu
Akiri chaguzi za 2010 zilichangua kuvunja umoja wa chama kwasababu ya wagombea...
Wana JF;
Reference:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/212896-friends-of-regia-kukutana-dsm-kumuenzi-regia-27-jan-2012-a-14.html
Ukumbi:
Tayari tumeshafanya Confirmation ya Ukumbi...
taarifa zilizo nifikia hivi punde ni kwamba madaktari wa ule mji wa wanaharakati wanapanga kukutana siku ya jumatatu kujadili mgomo wa madaktari unaoendelea nchini.tusubiri tuone na kusikia.
CCM imepanga maandamano sehemu mbalimbali nchini ktk kuadhimisha miaka 35 ya kuzaliwa CCM (na kuzikwa kwa TANU na ASP). Kikwete ataongoza MWANZA. Maandamano haya yanaitwa "matembezi". Haya...
Maoni ya katuni
Habari kwamba baadhi ya askari wa Jeshi la Polisi wanahusika katika wizi wa shehena ya mahindi tani 600 ambayo yalikamatwa yakivushwa mpakani kwenda nchi jirani katika wilaya ya...
Hongera sana Mwakilishi wetu Mheshimiwa HAMZA kati ya wawakilishi wa Wazanzibar uliomakini na uliojivuwa katika mstari wa walioikosea Jamhuri huko nyuma, tunakupa heko kwa kuliona hili na...
Published On: Sun, Jan 29th, 2012
Tanzania | Published On: Sun, Jan 29th, 2012
Former Kagera Regional Chama Cha Mapiduzi (CCM) Chairman, Pius Ngeze, has appealed to the government to start...
Taarifa hii nimeitoa kwenye ukurasa wa facebook wa KILEWO.
CHADEMA Dar es salaam tumeathirika na mgomo unaoendelea wa Madaktari kwa kuondokewa na kiongozi wetu wa tawi la Banana ambaye alikuwa ni...
Akiwa Davos Rais Kikwete amefanya mazungumzo na Waziri mkuu wa uingereza David Cameroun
ambapo amemsifia Rais Kikwete kwa kukuza sekta ya kilimo nchini kupitia Kilimo kwanza na
kukuza uchumi...
Kamati ya BUNGE ya ukaguzi wa fedha za serikali ikiwa na kamati ya hesabu ya mashira ya uma ilienda
kukagua kazi wanavyofanya TBS huko Hongkong na
kugundua hawana ofisi, pesa wanaweka mifukoni...
Leo kambi ya ccm jimbo la kibaha mjini imebomolewa baada ya wanachama zaidi ya 36,wakiongozwa na katibu wa kata ya maili moja MATHIAS MOHAMED MBOGO almaarufu (sufuria la CCM) waliporudisha kadi na...
Wakati mkuu wa kaya ameondoka huku hali ya nchi ikiwa tete baada ya madkari kugoma akiwa anahudhuria kikao huko ulaya waziri mkuu wa uingereza amempongeza kuwa serikali ya Tanzania...
akiwa anatoka korogwe msafara wake umepata ajali baada ya gari la polisi lililokuwa linaongoza msafara kushindwa kukata kona kwenye milima na kutumbukia kwenye shimo. bado haijajulikana kama kuna...
Bila ya Wzbar kutokuwa na imani na Raisi Shein , nilazima amuwajibishe haraka sana Ali Juma Shamuhuna kuendelea kushikilia wizara nyeti alionayo kabla ya kuleta asari zaidi.Written by Hassan10...