Nape nnauye : Ndani ya star tv kuelezea miaka 35 ya chama hiki.......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape nnauye : Ndani ya star tv kuelezea miaka 35 ya chama hiki..........

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Jan 29, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  ...Jamaa anaendeleza siasa zilezile kwa kusema haya;
  1. Moja hati ni chama kinachoongoza kwa kuchukua maamuzi magumu
  2. Akiri chaguzi za 2010 zilichangua kuvunja umoja wa chama kwasababu ya wagombea kuingiza wanachama hewa na mamluki.
  3. Asema yeye ajaingia CCM kwasababu ya baba yake,ila kwasababu ya itikadi makini ya chama hiki,na amesema kuwa yeye atishi wanachama wenzake isipokuwa wanatakiwa waondoke kwasababu ya kuwasaliti wanachama wenzake.
  4. Asema hata mwalimu alisema chama chao kimekuwa kama kokoro kwasababu ya kuchanganya watu wasiofanana na itikadi za chama...
  5. Asema kuna watu wanasemwa kila siku juu ya ufisadi lakini hawataki kuachia nyazifa zao....akatolea mfano wa mtu anayefatwa na nzi akiwa amebeba mzogo,akasema nzi wanafata mzoga na kwa hiyo lazima hautupe mzoga ili nzi wamuache..hapa ana maana kuna watu wamebeba mzoga(ufisadi) na nzi wanamfuata(wananchi) ili apone lazima hatupe huo mzoga
  6. Asema wanatafuta uraisi kwa kwend makanisani wanapoteza muda maana chama kinatengeneza mfumo bora wa kuchagua mgombea.Na anasema wanaokimbia makanisani wanaweza wakawa wanapoteza muda na pesa zao kwasababu yawezekana mfumo wanaoutegemea hautatumika...Anasema kuendesha makundi ni gharama kubwa sana tena sana...
  7. Asema UVCCM imeanza kuchafuka kwasababu sasa haitoi viongozi walio bora kama zamani,na amewaomba wakae chini wajipange..anasema umoja wa vijana unatakiwa ujiulize unakutana wapi na vijana maana vijana wengi wanapatikana kwenye mitandao ya kijamii na sio kwenye vijiwe...
  8. Asema kuwa watu bado wanaendelea kushikilia biashara na nyadhifa za kisiasa kitu ambacho kinaathiri utendaji wao...maana wengine wanatumia nafasi hizo kujinufaisha kibishara kwa kupitisha mikataba bomu...
   
 2. TODO

  TODO JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nape asema anawashangaa watu wanaopita pita makanisani huku wakitafuta njia ya urais eti wanajisumbua tu maana sekretariat ya ss imejipanga vizur kwa hyo itakula kwao
   
 3. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  huyu jamaa vipi hili si walilimaliza Dodoma na kupeana la kufanya na Wassira aliwakalisha UVCCM na kumalizana nao au anataka waibuke upya kwa nini hana tabia ya kusamehe na kusahau
   
 4. t

  thatha JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  nape kwanini asiwaite WADINI HAO?
   
 5. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Habari mkuu,habari ya toka jana,Nape hana jipya
   
 6. t

  testa JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  moja kwa moja anamlenga EL
   
 7. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,740
  Likes Received: 6,016
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red; mfano wa ajabu kabisa ambao unaonesha hata uwezo wake wa kufikiri! Yaani anatufananisha wananchi na inzi? Huyu kweli sio mwanasiasa! Unaposimama kwenye jukwaa kuzungumzia umma tena katika hali tete tuliyonayo kwa wakati huu lazima uwe makini sana na kauli zako! Angeweza kutoa mfano mwingine na akaeleweka vizuri kuliko kutufananisha na mainzi tena tukikimbilia mzoga!

  Ha ha ha ha ha! Yaani aliyebeba mzoga ni MTU/BINADAMU (fisadi) halafu wanaokimbilia ni MAINZI (mwananchi mvuja jasho). Ha ha ha ha ha! Hata kwenye mifano ya CCM fisadi ana thamani kuliko mwananchi!

  Kweli siasa kazi tofauti na wengine tunavyodhani! Anyway, la kutia moyo ni kwamba hakuna jipya alilozungumza zaidi ya hadithi zile zile ambazo hazitakiokoa chama chake.
   
Loading...