Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwananchi Mon 30 Jan 12:47AM Hamad Rashid atikisa Pemba BOOKMARK THIS PAGE Hamad Rashid atikisa Pemba Send to a friend Monday, 30 January 2012 11:40 0digg Aziza Masoud, Pemba MBUNGE wa Wawi...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Madaktari wamekutana na waandishi wa habari muda si mrefu na kutoa kauli ya kukaidi amri ya Waziri Mkuu juu ya wao kurejea makazini kesho. Dr. Stephen Ulimboka, mwenyekiti wa jumuiya ya...
29 Reactions
214 Replies
19K Views
Baada ya Dr kigwangala kusimama bega kwa bega na wanafani wenzake tunamuomba mbunge mwingine atuongoze wananchi siku ya ijumaa kulaani posho na uchafu wote wa serikali katika maandamano.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nakumbuka Bw, Nape alikwenda kwenye Kituo cha redio cha Clouds wiki chache zilizopita, na akasema posho ya wabunge inayoongezeka sio agenda ya CCM wala hakubaliani nayo. Natumaini alikuwa anaongea...
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Ni dhaihiri kuwa madaktari sasa watakuwa wanamkumbuka sana Waziri Mkuu aliyaachia ngazi 2008 kutoka na majibu aliyowapa Pinda. Ingawa madaktari wengi kipindi kile watakuwa walifurahi Lowassa...
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Akizungumza na wapiga kura wake wa Mtaa wa Mpakani katika Kata ya Kwembe Jimbo la Ubungo siku ya Jumamosi tar 28 Jan 2012 Mhe John Mnyika aliulizwa swali kuhusu kitendo cha wabunge kudai posho...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
sitaki kusema mengi juu ya uhuni huu wa nchi hii,bora tufe wote kuliko wizi huu wa mchana, laki 3 na thelathini per day.mama yangu kama nikipewa.....
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Suala la Wabunge na posho ya 330,000/= kwa siku kupitishwa na Rais, na huku Waziri Mkuu akiwaamuru madaktari warudi kazini mara moja akiwatishia kuwafukuza kazi wakikaidi ni kwa hasara ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo nimechoma moto kadi yangu ya CCM...................inatosha......! Wabungo meno yote nje na 330,000 kwa siku, wakati wananchi hawana daktari wala dawa wanakufa..........! jamani.......!! na...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Kwa muda mrefu sijamsikia Waziri wetu Mkuu Mheshimiwa Pinda akihamasisha Masuala ya Utendaji serikalini kama Mtendaji mkuu wa serikali hadi Madaktari walipogoma akajitokeza hadharani. Je, alikuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanajamii, Katika hali isiyo ya kawaida baada ya Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, Bw.James Mbatia na wenzake kumaliza mazungumzo Ikulu hivi majuzi, habari za uchunguzi zinasema ya kuwa, mojawapo ya...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Madaktari wanadhalilisha chama tawala na kukifanya kionekane hakifanyi na kutekeleza majukumu yake hivyo napendekeza wote wafukuzwe CCM na CUF na hatuhitaji kula zao kama zile za wafanyakazi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mgomo wa madaktari unaondelea hasa jiji dar umesababisha madhara haswa kwa wale ambao wanaumwa.Kutokana na huu mgomo mkurugenzi wa uenezi wa cdm ametoa msimamo wa chama chao,tunakuomba nawe utoe...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna wakati binadamu akiambiwa ukweli huwa hakubali kama unapingana na maslahi yake! Nina wasiwasi huenda moto walioanzisha madaktari ukaonekana kama ni madai yasiyozingatia hali halisi ya...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nilipoanza kusoma makala moja iliyochapishwa ndani ya gazeti la Tanzania Daima siku mbili nyuma...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
January 28 2012 Na Grace Ndossa MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imesema itatoa uamuzi wa pingamizi lililowasilishwa na Kampuni ya Dowans la kuitaka mahakama hiyo isiwape Tanesco kibali cha...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakati serikali ya J.K ipo bize kujibu hoja za Madaktari zitokanazo na Mgomo wa madaktari ambazo zinaonekana kukosa suruhisho kutoka pande zote. Mh. Lowassa anazidi kusonga mbele na kujijenga...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Rodrick Kabangila, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu suala la maslahi kwa madaktari na kuitaka Serikali...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Wakati sakata la mgomo wa madaktari likipamba moto tunaweza kuwa na orodha ya viongozi wa Kitanzania waliotibiwa kwenye hospitali za nje ya nchi kwa gharama za walipa kodi? Pia tunaweza kuweka...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Aka
Hivi ni kweli maendeleo ya nchi na wananchi wake hutegemea siasa za nchi husika Je ni kweli ama ndiyo janja ya kutaka kutuibia? KITU KINGINE KWANINI WANASIASA HUPENDA KUJIKOSHA KWA WANANCHI PINDI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…