Hivi washauri wa Rais JK kwenye mambo ya Uchumi, waliopo Ikulu ni kina nani hao? Embu Tuwamulike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi washauri wa Rais JK kwenye mambo ya Uchumi, waliopo Ikulu ni kina nani hao? Embu Tuwamulike

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by everybody, Feb 6, 2012.

 1. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa mawazo yangu, kuna mambo ambayo Rais anapokua nje ya nchi akiulizwa ni lazima awe na majibu ya upesi na yaliyo sahihi. Kuna thread humu inazunguka kuongelea jinsi Rais alivyojiumauma alipotakiwa aeleze vipau mbele kwa Africa na nchi yake huko Davos. Kwa kweli hii inasikitisha!

  Mimi nadhani kuna tatizo kwenye washauri wake wa mambo ya uchumi, either sio watu makini, au kama ni makini, Rais anajiamini sana na hawapi ushirikiano au hataki kuwauliza, au hataki kuonekana hajui, au washauri wake wanataka awe anaaibika hivyo!

  Kwa wale ambao mna data za washauri wake, naomba mtuwekee hapa ili tuweze kujaji credibility zao au ufanisi wao. Wengine unaweza kuta walikuaga walimu wetu huko vyuoni so tunaweza kuwachambua humu.
   
 2. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Washauri ni Vilaza au Raisi mwenyewe Hashauriki.

  Ni wakati sasa wa hao washauri wa Kiuchumi kuja hapa JF kueleza kulikoni, otherwise tutawadharau milele
   
Loading...