Hivi ni kweli wananchi hawana hatia katika huu Mgomo wa madaktari unaoendelea???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli wananchi hawana hatia katika huu Mgomo wa madaktari unaoendelea????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by alfime, Feb 6, 2012.

 1. a

  alfime Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mara kwa Mara kumekuwepo na malalamiko kutoka katika taasisi mbali mbali kuwasihi Madaktari na Serikali wakae mezani wazungumze kwani wanaoathirika ni wananchi wasiokuwa na hatia ?????? Je ni kweli wananchi hawana hatia katika mgogoro huu???
   
 2. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Yeyote aliyeshiriki kwa namna moja au nyingine kuiweka madarakani serikali hii ya kijambazi isiyojali maslahi ya watumishi wake ana hatia!!!
   
 3. a

  alfime Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well said yeyote Yule aliyeshiriki kwa njia yoyote ile kuiweka hii serikali lege lege madarakani Ana hatia! Na wale wote walioamua kukaa kimya nao wana hatia??? Kimsingi ni wananchi wote wana hatia, Kama siyo sisi wananchi haya yote yasingetupata.
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Na kama tunajiona hatua hatia tuandamane kwenda magogoni tukaweke kambi hapo uone kama hawatalitatua tatizo la madaktari badala ya kuwapa kauli za kihuni na kuwaamrisha kama wanavyo watumia wanajeshi...
   
 5. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  sio hivyo tu mkuu, nadhani mleta hoja anaongelea suala la msingi sana hapa.

  Najua wananchi walifanya makosa mwanzoni lakini hivi sasa ni wakati mzuri wa kuonyesha kuwa wameelewa/tumeelewa. Madaktari kwa sasa inawezekana hawako stable financially na ilikuwa imeletwa hoja hapa kuwa ifunguliwe account ili kuwawezesha katika siku hizi wanazodai haki zo.

  Ingekuwa kweli tumetoa mchango katika hali ya kuelewa, basi tungepanga na kujikusanya sehemu then tuwaite na kuwasikiliza matakwa yao. Lakini tumekaa kimya tunaangalia wakinyanyaswa.

  Hii ni dhairi kuwa tuna hatia na hatujatoa support yoyote ya maana mbali na kukaa tukisubiria serikali inasema nini
   
 6. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Unajua,kama una akili kidogo tu,utagundua kwamba wananchi ndio wahusika wakuu katika mgogoro huu.Wao ndio wamezembea mpaka tumefika hapa tulipo,wao ndio walioiajiri serikali ya Kikwete.They should remove it from power.Cha ajabu ni kwamba wamekaa tu wanakenua,ushenzi mtupu.Ngoja waipate.
   
 7. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wananchi wana hatia, hatia kubwa sana,!
  Wao ndo wagonjwa, ndio waathirika, badala ya kuchukua hatua madhubuti jana walirundikana pale ccm kirumba kula wali kuiimba na kugawiwa kadi baada ya zile za awali kuzipotea! Mimi naomba maisha yaendelee kuwa magumu mpaka watz watakapoamua kudai haki zao wazi.
   
 8. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mkuu Tikerra, kwani wewe unasimama upande gani!? Wewe si mwananchi!?
  Naomba tukumbushane tu pale tunaposema Watz ni 'wajinga' we(I) are also inclusive.
  Tukubaliane tu kimsingi Madaktari wameplay their role but we as public we haven't


   
 9. a

  alfime Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na hata waandishi wa habari wameingia katika mtego huu kwa kuandika wananchi wasiokuwa na hatia? Hata watetezi wa haki za bin Adam nao pia??? Naomba tuelewe kwamba sie wananchi tuna hatia kuliko hata serikali iliyoshindwa kutatua huu mgogoro ...... Sie Kama wananchi tuliipa dhamana kutuongoza but imeshindwa kazi Yao ni kutulalamikia tuuuu, oh Mara ukata, sungura Mdogo .. Kwani wameshindwa nini kuwinda tembo??? Kuendelea kusema hatuna hatia ni kujivua gamba...
   
 10. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  No,naomba nisikubaliane na wewe katika hili.I have always advocated change of this system because it has failed to deliver.The majority of Tanzanians support the system in it's present state,hawa ndio ninaozungumzia.Na mimi siko huko.
   
 11. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,660
  Likes Received: 21,879
  Trophy Points: 280
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Madaktari ni wazawa na niwananchi wanaotakiwa kuwa na uzalendo na uchungu kwa wananchi wenzao. Wanatakiwa watambue kuwa nchi inaendeshwa kadiri hali ya uchumi inavyo ruhusu na si watakavyo wananchi au watumishi wa serikali!
   
 13. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Sio wanahatia, sema tunahatia. Mbona mpaka leo hatuja ingia barabarani? wenzetu kule Misri mashabiki waliuwana kesho yake wakawa barabarani. Sijuwi tunakosa wa kutuongoza? au hata akijitokeza wa kutuongoza wananchi hawata jitokeza? Chonde Viongozi wa Dini, Machehe, ma-askofu, wachungaji, Jitokezeni jamani! waumini wenu tunaanagmia.
   
 14. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Wananchi hatuna hatia hata kidogo Sisi ni malaika wa Mungu!
  Wenye hatia ni CDM kwani ndiyo wamesababisha mgomo wa
  madaktari
   
 15. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Kumbe serikali ya Thitiem inaajiri madaktari uchwara???

  Kumbe wagonjwa wanataka kutibiwa na madaktari uchwara??

  Kumbe MUCHS (wizara ya afya) wanasomesha madoktari uchwara?

  Sasa nani alaumiwe, wagonjwa au Serikali?
   
Loading...