Mama Lwakatare Vs Anne Makinda

faloyce2001

Member
Feb 18, 2010
24
11
Wadau nimeshindwa kuamua. Kati ya hawa wamama wawili ni nani mwenye mvuto kwenye jamii? Namaanisha ni nane ambaye anaweza akasimama mbele yako akakushawishi kuwa yeye ana mchango katika maendeleo ya nchi hii? Nimekuja na jambo hili hasa baada ya kuwaza sababu hasa ya watu hawa kustahili kuongezewa posho. Wadau nipeni taarifa.
 
umekosa kazi wewe
hawana vitu vinavyofanana
 
Hivi na wewe ni Great Thinker kweli? Una judge ubora wa kiongozi kwa kuangalia mvuto?
Kwani tuko kwenye mashindano ya kutafuta wachumba?
Go back to the drawing board!
 
Hivi na wewe ni Great Thinker?! Una judge ubora wa kiongozi kwa mvuto?!
Kwani ni mashindano ya kuchagua/kutafuta wachumba?!
Go back to the drawing board!
 
wote ni vichaa,alieandika post ni kichaa na nyie mnaobishana na kichaa ni vichaa pia:embarassed2:
 
hakuna mtu mi naona wote ni matatizo maana mmoja mwizi wa sadaka mwingine mtumwa wa mafisadi na weewe hii si hoja
 
unaaanza vibaya mkuu tafuta hoja nzito ingia nazo nenda hata kule national auditing katafute wizi unaofanywa na watu leta
 
Back
Top Bottom