Baadhi ya madaktari MUHIMBILI waomba RUSHWA kwa wagonjwa.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baadhi ya madaktari MUHIMBILI waomba RUSHWA kwa wagonjwa..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Aaron, Feb 6, 2012.

 1. A

  Aaron JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,120
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  Huku mgomo wa madaktari ukiwa umechukua sura mpya leo.. baadhi ya madaktari watumia mgomo huo kuomba rushwa kwa wagonjwa ili wawapatie dawa..
  CHANZO_clouds fm.
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Huyo aliyekwambia na wewe wote hamjui mnachokisema, kwanza madaktari hawatoi dawa, wao kazi yao ni kuandika dawa, they are priscribers and not dispensers.

  Halafu wameombea wapi hiyo rushwa wakati wako majumbani, au hao wagonjwa wamewafuata majumbani, na kama ni hivyo wanahitaji kuwalipa kwa kuwa hiyo ni huduma private.

  Ukiwa Muongo uwe makini.
   
 3. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Huyu ni kiobonde anarudi kupambana na wana JF... Chezeya JF muulize mama lwakatare
   
 4. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuna watu wengi ambao "wanatia petroli kwenye moto" hawa pia ni miongoni mwao.
  Nashindwa kuelewa kwa nini serikali/uwt isiwachukulie hatua kali watu kama hawa.
  Inaonekana klauzi wameishika sana hii nchi eeh!

  Madaktari mnaosikia, KAZI KWENU!
   
 5. A

  Aaron JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,120
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  NIMERIPOTI KAMA NILIVYO ISIKIA KUTOKA cloudz
   
 6. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  chanzo mtu ambae hata fine hanaqulitification yeyote. wenzake wamefaulu kuanzia chekechea mpaka chuo. yy 4m 4 tu ilimshinda.
   
 7. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,495
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280
  Mwambieni Kibonde kuwa ICC ya Africa inajengwa Arusha lakini asije shangaa kama jela ikawa Mogadishu!!
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  basi unaporeport uwe makini!
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hongera kibonde Hosea kakusikia lakini sijui lakini nina mashaka kama anaweza kukamata walarushwa.
   
 10. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Clouds FM is mostly listened by numbskool and the nescient audience alike. A smart information seeker won't waste his single minute listening to this third-rate radio station which is filled with mediocre and maladroit presenters who were originally night clubs DJs and events MCs.
   
Loading...