Je, wewe ni Ndugu au Mheshimiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, wewe ni Ndugu au Mheshimiwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sungurampole, Feb 6, 2012.

 1. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Napenda niwashirikishe tafakari yangu:

  Wakati EAC inavunjika miaka ya 70 watanzania tulikuwa tunawasema wakenya kuwa ni wabinafsi na kweli walikuwa wamefikia hata kuitana waheshimiwa na watukufu.Kwa kejel katika malumbano yale tuliwaita hata nyaxxx u.

  Sisi tulikua tunaitana ndugu na ndivyo tulivyokua NDUGU.


  Leo hii sisi tunaitana waheshimiwa na Kenya wanaitana ndugu.

  Nini kimetupata?


  Je, tunaweza kurudi tena? na zaidi je, tunahitaji kuwa NDUGU tena na kuachana na uheshimiwa?
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Mimi ni mheshimiwa ndugu king'asti.
  I guess tatizo hili halinihusu.
   
Loading...