Birthday ya CCM Mwanza, Malori yaanza kumiminika

Birthday ya CCM Mwanza, Malori yaanza kumiminika

NgomaNzito

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2008
Posts
559
Reaction score
28
Hapa Mwanza leo magari ya serikali yamejaa kila sekunde unapishana na maV8 STK inaelekea sherehe za chama zimegeuka kuwa ya serikali gharama inaonekana kubwa sana kwani madc,wakurugenzi,maRC wote wapo wanatanua per diem na madereva wao, wakati madaktari na wagonjwa hoi hii ndio ccm inapotupeleka....
 
Bathdei ni ya Chama Cha Mapinduzi, rasilmali zetu za pamoja nje ya ITIKADI ZA KISIASA mkononi mwa serikali zimefikaje kwenye hiyo shughuli binasi?

Hebu tupe ushahidi wa picha ili Mama Lwakatare asiye akatushutumu kwa kueneza bure uongo hapa.

 
Nahodha hajawaeleza kilichomsibu kule Tunduma?
 
Huenda hata gharama nzima ya besidei ni kodi zetu. Yuck fou CCM.
 
Hii Serikali ina hela bwana. Ila ni wajanja wachache tu wanaoweza kuzila kwa posho na matanuzi ya sherehe za chama na miaka 50 ya uhuru. Hatuna pesa za kulipa madaktari.
 
Mbeya oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
" Kuzaliwa kwa chama kipya tarehe tano mwezi wa pili sabini na saba eh mungu kipe baraka". Just singin I don't mean it
 
THE DUALITY BETWEEN 'WHAT-IS-CCM-IS-THE-STATE' IS FAST KILLING OUR ECONOMY AND DISTORTING OUR TAXPAYER AND DONOR POWERS OVER PUBLIC RESOURCE AND PROPER USE

Something is seriously WRONG in the minds of CCM stalwart; they shall never live to see any DIVIDE NOR BOUNDARY between what is governmental and what is purely in the corridors of parochial party politics plate.

No wonder EU Committee of General Election Observers commented harshly on this DUALITYand how much it is eating down the nation bit by bit in every other socio-political and economic spectrum of our day today lives in this country.

A most delicate issue to scrutinise thoroughly and amicably to its finest logical solution once an for all - using public resources to facilitate a private political party business is a major liability in the shoulders of donors and taxpayers alike.

Who paid for the fuel in the expensive vehicles tha our RCs, DCs Cabinet Ministers, CCM MPs and the like may ha used to attend CCM Birthday in lake town of Mwanza? How are the taxpayers liable to pay for their per diems there, food and bed.

In a sense, it all means that whenever a taxpayer undertakes his responsibility and donor agencies believing to commit their hard-earned funds for the developmen purposes of this country, they MUST likewise recognised the fact that that helping hand is equaly OBLIGED without saying any louder that it facilitates fully WHAT IS PURELY CCM business within or outside the country.

Mh Mkulo nani katoa idhini rasilmali zetu zitumike kwa shughuli za kichama?
 
Kwa nini msi apply Mbeya style?lakini waacheni tu,miaka si mingi watakua wanaudhuria mahakamani na kujibu mashitaka ya ufujaji wa mali za umma!hatochomoka mtu hapo!
 
NDIO KUSEMA SERIKALI HII YA CCM NI SERIKALI YA MINUSO KILA KUKICHA BILA KUWAZA MAENDELEO YETU WANANCHI WAKE?

Jamani fedha za kuwakirimu vilaza wa CCM kwenye minuso Mwanza zipatikane lakini za kumlipa Mwalimu na Daktari zisindikane kweli are we serious here?

Vivyo hivyo tuliona mabilioni iliotumika kwa besidei ya siku moja ya taifa linalofikirika tu kimawazo, Tanganyika, hadi hapa ndio kusema serikali hii ya CCM ni serikali ya minuso tu ambayo kila siku inachangamkia tu mianya ya matumizi holela bila tija kwa walipa kodi wa nchi hii?
 
Hayo magari hayapo huko tu hata huku mikoani zinakofanyika kimkoa magari yanayotumika ni ya Serikali.Nguo za kijani zimejaa kwenye magari ya serikali.Halafu mseme hakuna hela ya kuwalipa madaktari.Acha waendelee kugoma,si neno kwani CCM ndio inayowaua wagonjwa na si madaktari.
 
Wenzetu Machalii wa Mwanza, hivi kweli mnalionaje swala hilo STHkuzagaa kila kona hapo jijini kwa mtaji wa ufujaji kodi zetu wakati wengi wala hatujui tutoke vipi huku ma-vijiweni?

Natamani waige MBEYA!!!!
 
Ukiambiwa Dr Slaa kwamba CCM ni chama Dola, kinatumia rasilimali za serikali kuendesha shughuli zao, huelewi? Tafakari, chukua hatua...
 
Wenzetu Machalii wa Mwanza, hivi kweli mnalionaje swala hilo STHkuzagaa kila kona hapo jijini kwa mtaji wa ufujaji kodi zetu wakati wengi wala hatujui tutoke vipi huku ma-vijiweni?

Stay tuned....machalii wa pale Kabuhoro ni noma
 
Back
Top Bottom