Mswada Katiba Mpya: MAONI YA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mswada Katiba Mpya: MAONI YA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msanii, Feb 9, 2012.

 1. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  MAONI YA MSEMAJI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, WIZARA YA SHERIA NA KATIBA, MHESHIMIWA TUNDU A.M. LISSU KUHUSU
  MUSWADA WA SHERIA YA MAREKEBISHO YA SHERIA
  YA MABADILIKO YA KATIBA, SHERIA NA. 8 YA 2011
  (Kanuni ya 86(6) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, 2007)

  Download nakala ya hotuba
   

  Attached Files:

 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Tundu Lissu ni jembe, uwepo wake bungeni umesaidia saana.
   
 3. e

  evoddy JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hakika CHADEMA ndiyo chama pekee chenye maono ya taifa letu
   
 4. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  doesn't matter
   
 5. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  aibu yao wenyewe wenye nguo za kijani
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hongereni wanaCDM wote
   
 7. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Bunge limeanza tena session ya jioni
   
 8. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Hayo yote ni matunda ya kuwa na Katibu Mkuu wa Chama mwelewa ; Dr. Slaa; anajua kuipanga timu yake ya kazi vyema katika kufanya kile ambacho CHADEMA tunataka!
   
 9. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Sawa tuko pamoja hadi kieleweke! Wafuasi wengi wa CCM ni mbumbumbu ndo maana hawawezi kujua nini CDM wanapigania - ila mwisho na hao mbumbumbu watafaidika kwani tunachokitafuta ni kwa ajili ya Taifa zima na wala si kwa ajili ya wanachadema tu!
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu tupe live coverage
   
 11. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mbowe is now speaking.......
   
 12. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Karibu jamvini. Naona unaanza kwa kutokueleweka
   
 13. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Sijui kwanini Mibunge ya CCM migumu sana kuelewa? Mbowe, Silinde, Arfi, Machali wameongea vizuri sana lakini nahisi wanataka kutumia wingi wao kulazimisha wakuu wa Wilaya
   
 14. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mungu ampe maisha marefu yenye afya...mchango wake kwa maendeleo ya chadema na taifa ni mkubwa sana.
   
 15. K

  KIROJO Senior Member

  #15
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya ndo mambo tunayo taka kuyasikia ,CDM aluta continua
   
 16. m

  mkonge Member

  #16
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ngoma imenoga acha tu mafisadi wanune
   
 17. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Congrats to all stakeholders (the govt, various parties, civil societies etc) for showing a high level of political maturity in resolving this crucial matter
   
 18. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,069
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  ambaye yupo kwenye laptop naomba aidownload atuwekee hapa. wengine tunatumia simu. ova
   
 19. P

  Pius Kafefa Member

  #19
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Hebu soma kifungu hiki cha mwisho

  "Mheshimiwa Spika,
  Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni inafarijika kwamba Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala ya Bunge lako tukufu imeridhia na kukubali mapendekezo yote ya Muswada huu na Jedwali la Marekebisho la Serikali. Kwa sababu zote hizi, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni sio tu inaunga mkono Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, 2011, bali pia inatoa rai kwa waheshimiwa Wabunge wote, bila kujali the narrowness of our political party affiliations, tuungane na Mheshimiwa Rais katika kulipatia taifa letu utaratibu wa kutengeneza Katiba Mpya wenye muafaka wa kitaifa.

  Mheshimiwa Spika, kwa mara ya kwanza, naomba kuunga mkono hoja hii.  ---------------------------------------------------------------

  Tundu Antiphas Mughwai Lissu (MB)

  MSEMAJI, KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI

  &

  WAZIRI KIVULI, KATIBA NA SHERIA


  FEBRUARI 9, 2012 "  IT was a very nice presentation. We hope the interests of the majority have been given paramount importance at last!
   
 20. M

  Molemo JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tunatumia simu.Tunaomba mtuwekee hotuba yote
   
Loading...