Ufinyu wa ujuzi wa kiutawala kwa Mh. waziri mkuu

Simbou

Member
Feb 8, 2012
17
5
Tar 30 Jan. waziri mkuu alitangaza kuwa madaktari warudi kazini, na kwa yeyote ambaye angepinga kutii tamko lile anakua amejifukuzisha katika sekta ya umma. Na aliahidi kuwa katika kupambana na hili yupo tayari kuchukua madaktari wa jeshi wasaidie (back-up).

Jana tar 09 Feb. amekubali kukaa na madaktari hao hao aliowajibu mbovu na kuwaomba sana sana warudi kazini kuokoa watanzania wanaohitaji msaada wa kitabibu na kuwa swala lao litashughulikiwa kwa haraka kadri iwezekanavyo.

Wana Jamii mnamuelewaje huyu kiongozi, upo wapi msimamo wake kama kiongozi mwenye nafac kubwa namna hii!??
 
Hakukuwa na namna, tumpongeze kwa hili. Tatizo sio Pinda ni mfumo na athari za mgnt by fire brigade ndo hizi, watoto wasiojua kusoma wala kuhesabu kufaulu wengine juzi tu kuandika bongo flavour kwe mitihani. Hizi ni dalili mbaya na matokeo ya akili za mbayuwayu. Kwa ufupi ni kama sekta ya utumishi wa umma wako demoralized to the point of no return! Let's wait n see
 
Tar 30 Jan. waziri mkuu alitangaza kuwa madaktari warudi kazini, na kwa yeyote ambaye angepinga kutii tamko lile anakua amejifukuzisha katika sekta ya umma. Na aliahidi kuwa katika kupambana na hili yupo tayari kuchukua madaktari wa jeshi wasaidie (back-up). Jana tar 09 Feb. amekubali kukaa na madaktari hao hao aliowajibu mbovu na kuwaomba sana sana warudi kazini kuokoa watanzania wanaohitaji msaada wa kitabibu na kuwa swala lao litashughulikiwa kwa haraka kadri iwezekanavyo.
Wana Jamii mnamuelewaje huyu kiongozi, upo wapi msimamo wake kama kiongozi mwenye nafac kubwa namna hii!??

Ni wazi kuwa alikuwa bado katika usingizi wa dola kushika hatamu lakini mshakamano wa madaktari umewezesha serikali na viongozi wake kubadili msimamo. Ndio maana ni muhimu mshakamano ukawepo katika kuleta mabadiliko hapa nchini hivyo wabwabwajiaji kama Mhe Zitto kudhoofisha mshakamano wa wapinzani wajifunze.
 
ukiona mtu anajiita mtoto wa mkulima wakati halimi ni muongo.

ukiona mtu anajisifu kuwa ni maskini wakati kafanya kazi miaka 30 chunguza mbongo yake.
 
Hah lakini huyu kwani anatoa wapi maamuzi! Mbona kama vile anatumwa kaseme hivi, kafanye hivi? Maamuzi yake yako too artificial if I may use that word!
 
Back
Top Bottom