When police's intelligence get stuck-salam to Kova and Mwema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

When police's intelligence get stuck-salam to Kova and Mwema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by luckman, Feb 10, 2012.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Nimekuwa nikaangalia mambo yanaendelea hapa nchini na kushikwa na hamaa kubwa juu ya mwamko mkubwa ulioenea nchi nzima, ni jambo jema na la kushukuru wale wote walioshiriki na wanaoendelea kushiriki kutoa elimu ya urai, ikumbukwe kwamba ukipima uelewa wa wananchi kwa sasa na miaka minne iliyopita utagundua tofauti kubwa,

  Nirejee kwenye jambo la msingi,
  Nimefatilia kwa umakini mambo yanayofanywa na police hadi nashangaa sana, nijiuliza hivi hawa wanafata sheria za wapi kuwagandamiza wananchi kiasi hiki, badala ya kutulinda wamekuwa watu wa kuibia, kutukosesha amani, kubambikia kesi, kuzima sauti za watu, na kuwa walinzi wakubwa wa wezi wa nchi hii pamoja na maslahi ya chama tawala, Mwanzao niliposikia Mwema Amerudishwa nchin toka interpoll sikutegemea makubwa kabisa kwa wasifu wake alionao tangu akiwa mbeya! Kova amekuwa msemaji wa ccm, nashangaa, ni mengi sana yanatukwamisha kuendela walio wengi, wanaoendelea ni vongozi wanaot=watumia ndugu zetu yaani askari kujineemesha wakijua fika likisanuka wanadiplomatic paasport so it will not be a big deal at all!

  Nimeona juzi, wanawakamata wanaharakati eti wameandama bila kibali hivi hata definition ya maandamano hamuijui?kweli mnafanya mambo ambayo kimsingi hamtakiwi kuifanya na bado bunge lipo na linaona na kazi yake ni kuisimamia seriklai lakini wapo wanadai posho ingawa sio wote!

  Polisi wametumika kufika hatua kuzima haki ya kikatiba ya kuzima maandamano kisa intelijensia yao ya alshababu, huu ni uhuni na ufilahuni unaofanywa na mwema na jamaa zao!lakini mjue ratio ya askari ni 1:30,000, mtazima maandamano kweli nyie, subiri tuone na kama hamtabadilika na kufanya kazi yenu kwa mujib wa shria nawaambia ipo siku mtajuta kuwa polisi wa hii nchi!
   
Loading...