Leo Bunge kuahirishwa

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Wana JF leo jamaa wanakunja posho na kuondoka,ila Jana walilaza Kiporo cha Mivutano kuhusu wakuu wa wilaya na Wakurugenzi,Tetesi ni Kwamba wote watabaki kwa Imani kuwa CCM(wakuu wa wilaya)Wakurugenzi(chadema)
Maamuzi ya kijinga haya yameamuliwa ili ionekane Ngoma Draw..
Hawa wabunge sasa naona wanataka kuchezea hawa wote watafanyaje kazi?ni kuleta tu migongano
 
mkuu wa wilaya?????????

mkuu wa mkoa?????????

DAS??????????????

wote hawa wanaiibia serikalai.
 
Msimamo wa CUF kuhusu Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi uko vipi? Au anamuunga mkono mume?
 
Msimamo wa CUF kuhusu Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi uko vipi? Au anamuunga mkono mume?

Tangu lini mke akampinga mme mbele ya wanaume wenzake?mapendekezo yao watamweleza mme wao wakiwa chumbani,asubuhi akija anatumia utumbo huo wa chumbani kuropoka mbele za wenzake.
CUF vunjeni ndo ili muwe huru kusema mbele ya wanaume,hata wale waliokuwa angalao wanapika kelele sasa kimya! Afadhali HM ambaye kageuka kimada wa nje,yeye ana uhuru wa kuongea kwani hajafungwa na yeyote, tehe tehe tehe....
 
Back
Top Bottom