Dr ulimboka akaongeze nguvu ya kampeni uzini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr ulimboka akaongeze nguvu ya kampeni uzini

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Sangarara, Feb 9, 2012.

 1. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Japo bado hatijafahamu kwa ukamilifu makubaliano ya Madaktari na Serikali lakini ni matumaini ya wote kwamba Makubaliano hayo yatakuwa yafaida kubwa sana kwa Madaktari wetu ukimjulisha kuwezesha kuondolewa kwa kiongozi Mbovu serikalini, Blandina & co.

  Napendekeza kablla hajapoa, DR Ulimboka aende Zanzibar kuongeza nguvu kwenye Kampeni.

  Viva Ulimboka Viva. Vivaaaaaa
   
 2. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  watakwambia watumishi wa umma hawatakiwi kujihusisha na siasa
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,798
  Trophy Points: 280
  huyu hana chama ni siri yake hata kama anacho..mboye aliwaommba chadema iiwasaidie wakakataa ...
   
 4. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  kwani kakwambia yupo Magwanda
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kuongeza nguvu kwenye chama gani?
   
 6. RUMANYIKA

  RUMANYIKA JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duu! Humu namo kwa vituko.
   
 7. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hahahaahaha JF kuna vituko!!
   
 8. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Yule anawezesha chama kwa kutoa hela sio kupanda jukwaani. wakati ukifika atapanda.
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Kuongeza nguvu za kujenga MISIKITI au?
   
 10. 2mbaku

  2mbaku JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 317
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nani kakwambia anataka umaarufu wa kisiasa? Huyo mpigania haki ya washika damu zilizo salama na zisizo salama! I mean doctors.
   
 11. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Yupo AFP , ila huko hawajasimamisha mgombea sasa atafanyia kampeni mgombea yupi?
   
 12. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,725
  Likes Received: 1,631
  Trophy Points: 280
  mwacheni apumzike kwani kazi aliyotumwa kaimaliza licha ya ma---vu mengi ya petro
   
 13. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Imeshakua siasa sasa
   
 14. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  aya kaka,naona nawe uko uku!
   
 15. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Madaktari wamenukuu vifungu vya biblia kuhalalisha mgomo wao, bila shaka wana uhusiano na Christian Democratic Movement (CDM)!
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  too much politiking sasa
   
 17. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  vipi akienda awe wa moto,baridi au uvuguvugu.
   
 18. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Duh Mkuu ! inependeza baada ya serikali kukamatwa watu wacheke kidogo. Ahsante kwa kufurahisha jukwaa!
   
 19. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Madaktari hawakuwa na madai ya kisiasa,tusiwachanganye na wanasiasa wetu uchwara.
   
 20. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,557
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  Ina maana chama cha madaktari nacho kinagombea huko?
   
Loading...