Bungeni kumewaka moto-mgomo wa madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bungeni kumewaka moto-mgomo wa madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sizinga, Feb 7, 2012.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,848
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Wameomba bunge lisitishe kila kitu wajadili inshu ya mgomo coz watu wengi wanakufa baada ya maspecialists kugoma
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,848
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Makinda hajaruhu mpaka kamati yake irudi na majibu....naona anatumia ubabe zaidi badala ya busara
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,945
  Trophy Points: 280
  Yeye ni mwana Apollo
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hao wenye mchecheto watatulia

  Makinga kama pepe:juggle:
   
 5. S

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Makinda hataki mwongozo wala taharifa
   
 6. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,937
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Wabunge wametaka kujadili kuhusu mgomo wa Madaktari, Spika almanusura aongee kikwao kwa Hasira zilivyomganda. Hakuna mwongozo wala nini, Bunge lichape kazi, Speaker Oyeeee,Kama nimekuudhi, Leave me alone
   

  Attached Files:

 7. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,568
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  amekataa kumpa nafasi Mnyika kuomba mwongozo na kutoa taarifa.
  Sura imemshuka huyu bibi utadhan kamwagiwa tindikali
   
 8. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Full Ubabe kwa bi Mkubwa najua watakata umeme wabunge wanaondoka nje
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,248
  Likes Received: 14,488
  Trophy Points: 280
  huyu mama yeye si anapelekagwa india..she has nothing to loose
   
 10. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,659
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Naona wanatoka mmoja mmoja hadi Ngeleje amelize kusoma hayo ya gas sijui watakuwa wamebaki wangapi
   
 11. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  MAma MAkinda


  Anazuia hadi penalt namfagilia sana huyu mama:A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::whoo:
   
 12. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  ndo nchi yenu hiyo!!!!
   
 13. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 3,961
  Likes Received: 11,536
  Trophy Points: 280
  Ana uhakika na matibabu yake, na wala hayawategemei madaktari wetu wa hapa, Kina sisi ndo inakula kwetu, hapa ndo tunazijua sura halisi za viongozi tuliowaamini
   
 14. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 688
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Tafadhari naomba mtujuze kinachoendelea......
   
 15. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 565
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  bi kiroboto huwa ananifurahisha sana,
  Ladies..... Mh.... haya bwana.
  akina mama wakiwezeshwa?......
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  Tutakoma tulio waruhusu wakaingia magogoni....
   
 17. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 5,893
  Likes Received: 2,166
  Trophy Points: 280
  Leta updates mkuu nipo kichakani hapa ukitubania itakuwa sio mwake
   
 18. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #18
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,022
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hiv kulikuwa na haja ya spika kumwambia bwana ngeleja alete hii hoja wakat watu wanakufa?. Mmh huyu mama anaboa hospital inataka kufungwa ye anakomaa et mpk kamati irudi irud wap wakat toka hyo kamati toka imeenda mambo yameharibika zaid....
   
 19. s

  sweetbertrutamb Member

  #19
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau huyu mama Makinda tuseme anatumia masaburi kufikiri? Mh. Zambi ametoa hoja kuwa bunge lijadiri mgomo wa madaktari, kwani hata madaktari bingwa wameanza mgomo na kwa hiyo hali ni mbaya yaidi. Lakini Makinda amekataa kwa mbwembwe sana. Wadau hii ni hakarl?
   
 20. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nilishawahi mwambia ubovu wa huduma za Muhimbili na jinsi wodi zinavyofurika na wagonjwa kujifungilia chini ya sakafu, ukosefu wa dawa nk akaniambia eti hizo ni historia. Kweli Makinda anakatisha tamaa.
   
Loading...