Too low Mhe Kabwe Zitto!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Too low Mhe Kabwe Zitto!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WATANABE, Feb 9, 2012.

 1. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Katika ukurasa wa 8 wa gazeti la |Mwananchi la leo tar 09/02/2012 kuna habari yenye kichwa cha habari CHADEMA: HATUIINGIZI NCCR BARAZA KIVULI LA MAWAZIRI,kwa muibu wa taarifa hiyo aliyetoa taarifa hiyo ni Mhe Kabwe Zitto.

  Licha ya habari hii kuwa against the spirit of reconciliation inayojengeka hivi sasa. Kwa hakika hiini habari ya kusikitisha kwa wnaharakati wa mabadiliko popote walipo ambao wanatambua kuwa ni mshkamano pekee ndio utakaoweza kufanikisha mabadiliko yanayohitajika.

  Ninafahamu kuwa Mhe Zitto na Mhe Kafulila ni pete na kidole hivyo ni dhahiri kuwa Mhe Zitto lazima atakuwa na sentiments zake kuhusu uamuzi wa NCCR kumtimua Mhe Kafulila lakini kama kiongozi na role model kwa vijana Mhe Zitto alipaswa kuwa na uwezo wa kutawala hisia zake badala ya kuachia hisia zimtawale na kiasi cha kuanza kupandikiza mbegu mbaya za kuvunja mshikamano miongoni mwa wana mageuzi.

  Naomba kuwasilisha!
   
 2. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama Zitto kajikurupukia tu na kutoa maamuzi yake; yeye ni kiongozi amepeleka msimamo wa chama chenu, laumu chama chako kwa maamuzi hayo hayo usilaumu mpeleka ujumbe. Zitto ni kiongozi makini kuliko wote CDM acha chuki zako wewe
   
 3. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Kumbuka mara kwa mara amekuwa akitoa kauli tata za kwake mwenyewe, nafikiri hapa anajaribu kuinfkuence wajumbe wa viako vya chama wasikubali kushirikiana na NCCR, kama ni hivyo itakuwa nia kwa maslahi yake binafsi na sio ya taifa.
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  kwani uamuzi ni wa zitto peke yake...sioni mantiki ya wewe kumlaumu zitto...
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mkuu Watanabe, umeielewa 'context' ya habari hiyo?
   
 6. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nauiliza hii yoote hapa kwa nini isiitwe NDOA kama ya CUF na CCM kule Zanzibar? Je Chadema ni NCCR B anu NCCR ni CHADEMA B? Naomba mwongozo!
   
 7. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Ni meelewa ni kauli tata za kuudhi at this particular moment.
   
 8. F

  Froida JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,903
  Likes Received: 1,330
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama kuna binadamu anaweza kuwa makini kuliko wote kwenye kundi kubwa embu acheni kidogo kumfitinisha huyu bwana mdogo na viongozi wengine munapofanya utetezi
   
 9. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  zitto hakurupuki wewe
   
 10. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Kwani kabla Kafulila hajafukuzwa NCCR, Zitto aliahidi kuishirikisha NCCR? Watanabe bana!
   
 11. T

  Tata JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,741
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280

  Aliongea kama Zitto Kabwe au kama naibu Katibu Mkuu wa Chadema na naibu Kiongozi wa Upinzani bungeni?
   
 12. T

  Tata JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,741
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Hawajafunga ndoa bado ila nadhani bado wapo kwenye kuchumbiana.
   
 13. N

  Ndusty JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Mkuu Respect!Nimefika mahali nakubali kuamini kuwa zitto ni very complicated.haeleweki kabisa yuko upande gani wala kwa maslahi ya nani.sasa kwa issue kama hii naamini ni kweli kabisa amejiropokea makusudi ili nadhani kuvunja ile attention iliyotokea juzi baada ya mbatia kufuta kesi yake na mdee.pia ukisoma gazeti la raiamwema matoleo ya hivi karibuni,utawaona wakimfagilia zito kuwa ndie aliyewezesha chadema kumwona Raisi.as if Mh Raisi alikuwa na ugomvi na viongozi wengine wa chadema au walikuwa wanamwogopa Raisi au tuseme zitto pekee ndiye smart kuliko wengine wote kiasi cha kufikiria wazo kama hilo.Stop playing Zitto..halafu kwenye toleo jingine kwenye kichwa cha habari "bunge kuingiza viraka bandia" wamejaribu kuwabeza viongozi wa chadema walioshiriki kwenye yale majadiliano ya katiba ikulu.Nina hakika kabisa zitto amechangia kutoa hizo comments au washiriki wake kwasababu tu hakuwepo kwenye hayo majadiliano.Zitto na wenzako tunawaomba sana for the sake of all the Tanzanians ambao wameweka matumaini na imani zao kwa CHADEMA, mjaribu kufanya mambo kwa akili zaidi.kama ni comments au tofauti zenu basi mtafute njia sahihi ya kuzimaliza pasipo kwenda kwenye media.mnapoanza kurushia wenzenu madongo au kuwa tofauti na majority kila mara inawachanganya mamilioni ya wapenzi na wanachama wa chama.muwaonee huruma pia wananchi,mkikumbuka kuwa kuna wengine walipoteza maisha,wengine ni vilema mpaka sasa kwa ajili ya kuwaamini nyie.tena mkiwa kama chama na sio mkiwa tofauti.Zitto hatutawaelewa kama mtashindwa kutupitisha 2015.Nothing personal Mh zitto.Be blessed!
   
 14. m

  mkomavu Member

  #14
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  litafute hilo gazeti la mwananchi halafu uandike nukta kwa nukta mstari kwa mstari usichague maneno ukisoma maelezo yote utamuele
   
 15. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Nilijaribu sana kudownload hiyo story from the net lakini sikuweza, ilikuwa nia yangu kuifanyia ataachment.
   
 16. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Vyovyote alivyoongea lakini aalichoongea ni pumba tupu!
   
 17. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  2ache unafki, Mh Zito 2namwamini sana sisi wana chadema.
   
 18. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  tatiz la watanzania wengi ni kutukuza watu mpaka wanaharibika. yey ni bainadamu na ana mapungufu yake, ni lazima tujenge utamaduni wa kukosoana wazi na ikingali mapema kabla mtu hajaotesha pembe. Kitu kikuba kinachohitajika hivi sasa ni mshakamano ili mabadilliko tunayotaka yaje kwa haraka, yeyote anayeonekana kutaka kufifisha mshikamano ni mwa kuogoipwa kama ukoma.
   
 19. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  mimi sidhani kama kuna haja ya kukurupuka kuwaingiza NCCR kwenye baraza.siamini kama mtu mwenye akili anaweza kufanya kituko kama hicho . kila hatua ya muingiliano ina potentials zake.lets wait and see kama NCCR wataamua kujinasua toka kwenye mikono ya CCM ndipo tuone kama kuna haja ya kufanya hivyo.
   
 20. B

  BUBERWA D. JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 446
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  zittophobia
   
Loading...