MATEMBEZI YA MSHIKAMANO Vs MAANDAMANO YA AMANI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MATEMBEZI YA MSHIKAMANO Vs MAANDAMANO YA AMANI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Plato, Feb 11, 2012.

 1. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Wakuu nimekuta hii mada kule www.mjengwablog.com ikionyesha tofauti kati ya matendo ya CCM na CHADEMA. CCM wakitembea wengi pamoja yao wanayaita matembezi ya mshikamano,lakini yale ya CHADEMA yanaitwa maandamano ya amani.

  Sasa mwandishi anahoji ni nini tofauti kati ya mambo haya mawili? kuna picha kule za matembezi ya CCM na maandamano ya CHADEMA yote ya Iringa ila nimeshindwa kuzihamishia hapa kwani sina utaalamu huo.

  Anayeweza azilete hapa.na kwa nini maandamano yanazuiwa na polisi wakati matembezi hayazuiwi?

  Nawasilisha
   
 2. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mkuu huoni tofauti tofauti ni:-

  1.Mshikamano wakiandamana wanasema kidumu chama cha mapinduzi wana mshikamano wanajibu kidumu chama TAWALA halafu zinafata hotuba za kejeli,majigambo sifa za kijinga na mengine ambayo kwa mtu mwenye maadili huwezi kuyaandika. Lakini pia kama mwenyekiti wao yupo hapo kuna mawili anaweza kumaliza mkutano salama au akazimika.

  2. Maandamano ya CDM - kwanza watatoka waliochoka na suluba za maisha,waliokata tamaa ambao wokovu umekuja juu yao. Utasikia viongozi wakisema Peopleeeeeee watajibu poweeer! kitakachofuata ni nkuwataja wezi wetu bila ganzi na kutupa njia bora ya kuwakamata au kuwa kawataa. watatuelimisha athari za wanachokifanya wanamshikamano and then watatuambia wakati wa ukombozi ni sasa.

  Hiyo ndo tofauti niionayo mimi.
   
Loading...