Tushamng'oa Blandina, sasa zamu ya Mary Nagu & Stephen Wassira

autopilot

Member
Jan 30, 2012
44
61
JF tushamngoa Blandina sasa inabidi tuhamishe majeshi kwa Mary Nagu na yule babu cha uzingizi

Na wala msipate taabu kutaka kuleta hoja za kisomi nyie leteni madudu yao tuyaanike kisha tuhamie kwa wengine

Naamini kwa hili itakuwa JF itarudi kwenye misingi ya ke ya asili...kutetea maslahi ya waTanzania

Muda wa kubishana na kupiga domo ushakwisha
 
pinda kakiri wazi kwamba kuna tuhuma zipo mtandaoni,ameshindwa kusema kapitia jf. The way alivyoziorodhesha nikagundua kuwa pinda ni mpitiaji mzuri sana wa jf. Bravo jf,endeleeni kuwafichua hawa wavunia tumbo wa nchi hii
 
na magamba yote wao wakishindwa kuvuana sisi tunayaweza kwani siri zao zote tunaziweka hadharani. Tunashukuru sana kwa Wabunge waadilifu mnopitia Web hii ya JF kila mara na kuchukua mawazo yetu.

Pia tunamshukuru mama Lwakatare naye kwa kuwa mmoja wa wabunge wanaofungua JF, kwani tunajua mawazo yetu yanafika sehemu yake.

MWIBA UTAWACHOMA TU, HATA MKIJIFICHA!!!!!!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Fitina zenu zitashindwa
mpaka mlegee kwa jina la yesu mnazareti!!!!99
 
hatung'oi watu watu wanaongea hoja humu, na si JF iliyomng'oa blandina kwa taarifa yako ni they way situation ilivyokuwa imekaa tu.
msijisifu kama vile mmeplay role kuwaaa kumbe hapa ni information centre tu.
 
nimefurahishwa haswa kwa kitendo cha huyo maza kudimuliwa pale! siku yangu imekwisha vizurii.
hongera PM kwa maamuzi haya magumu.
 
hatung'oi watu watu wanaongea hoja humu, na si JF iliyomng'oa blandina kwa taarifa yako ni they way situation ilivyokuwa imekaa tu.
msijisifu kama vile mmeplay role kuwaaa kumbe hapa ni information centre tu.​

Fitina zenu zitashindwa
mpaka mlegee kwa jina la yesu mnazareti!!!!99​

Hahaaaa naona looooooosers mnajifariji. Mkate wenu wa kila siku umesitishwa nn?
 
Kwa nini Mary Nagu? Amefanya nini huyu mama?

Pitia PS wote. Naamini Jairo na Blandina ni cha mtoto!
 
JF tushamngoa Blandina sasa inabidi tuhamishe majeshi kwa Mary Nagu na yule babu cha uzingizi

Na wala msipate taabu kutaka kuleta hoja za kisomi nyie leteni madudu yao tuyaanike kisha tuhamie kwa wengine

Naamini kwa hili itakuwa JF itarudi kwenye misingi ya ke ya asili...kutetea maslahi ya waTanzania

Muda wa kubishana na kupiga domo ushakwisha

hata mimi nakubali, huu mtandao kiboko aiseee!!!!! ni zaidi ya wabunge wote wa CCM waliopo bungeni!!!!! hata Chadema nao kiboko, serikali ya braza jei kei itaendelea kucheza ngoma ya CDM mpaka mwaka 2015 then itakabidhi usukani kwa CDM!!!!!!!!
 
Habari kama hizi huwa zinanikosha sana,nasubiri watakaofuta nyayo za huyo Fisadi Bibi.
 
mzee wa mahusiano a.k.a nyara ya serikali si anajipigia dozi tu wajameni.... mwacheni bwana
 
Back
Top Bottom