Wassira ndani ya TBC - aibu tupu

Chigwiyemisi

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
531
225
Wadau leo asubuhi Waziri Wassira alikuwa anahojiwa TBC1 kuhusu muswada wa marekebisho ya sheria ya mchakato wa Katiba unaotarajiwa kuwasilishwa bungeni. Cha kusikitisha na kutia aibu ni kwamba Wassira badala ya kuongea kama Waziri wa Serikali ameongea kama mwanapropaganda wa CCM tena mwenye uelewa wa chini kabisa pungufu ya ule wa Tambwe Hiza.

1. Kwanza ameongea uongo kuwa marekebisho yanayokusudiwa sio maoni ya CDM ni maoni ya rais na CCM na kwa hiyo hakuna lolote linalotokana na maoni ya CDM. Wakati anaongea haya alikuwa anaangalia chini kwa aibu! Shame on him!!!

2. Amekataa kuwa hakuna wabunge wa CCM wasiopenda muswada huo kuletwa tena bungeni wala hawana tatizo lolote na mwenyekiti wao wa chama yaani JK kwa kukutana na CDM na kusababisha muswada huo kurudishwa tena bungeni! Huu ni uongo pia kwa sababu wote tunajua walivyomuwekea bifu!

3. Anajaribu kujenga hoja kuwa marekebisho hayo ni madogo na ni ya serikali na sio kwa kushinikizwa na kwamba waandishi wa habari wanaeneza uzushi!

4. Alikuwa anakwepa maswali ya msingi na kuzungumzia mambo yake mwenyewe akilenga kuwaponda CDM hadi mtangazaji akawa anaduwaa kwani alitegemea anaongea na waziri wa serikali kumbe anaongea na kada wa chama!

Kwa maoni yangu waziri kuwa mbabaishaji kiasi hiki ni dalili za kushindwa! Uelewa wake pia ni mdogo sana kama anashindwa kuelewa kuwa ni wakati gani anazungumzia mambo ya chama na wakati gani anazungumza mambo ya serikali!
 
Wasira uliwezaje kumwangalia, manake mi namwona kama gorila hizi...sorry
 
kwani hujui kuwa ni zezeta? Alikuwa CCM awali kaenda NCCR kisha CCM unadhani anatafuta nini? Mwenye akili anajua ni kwa nini anatetea hata pumba ambazo mkubwa anazijua ni ubabaishaji:shock:
 
Ndugu yangu sisi tukisema hatuna serikali watu wanakuja juu,huyu aliyekuwa anahojiwa na TBC ndiye mshauri wa Rais.
kwani ulivyopima ukajionea mwenyewe ndivyo alivyo sasa ushauri bora kwa rais utatoka wapi? tukisema watuambia tunataka vyeo tuna wivu,sahau haya ni maswala ya nchi si ya watu binafsi sahau kabisa
 
Kwa aina hii ya viongozi wa Tanzania bora tukaweka majabali yatuongoze.
 
hivi wassira naye ni mtu wa 2012...naona kama yuko mwaka 1312, bahati mbaya evolution yake imechelewa mno....I mean his is analogy to that of monkey. Trust me...he is not right
 
Unajua maana ya neno WASIRA?? Wazazi wake walishatambua ndiomaana kapewa jina hilo linalo randana na matendo yake!
 
mlitaka ajibu vp? Hata kama ni waziri lakini ni wa chama gani? Subirini nanyi mtakapo kuwa na serikali yenu mjibu mnavyotaka waacheni mawaziri wa ccm wafanye kazi yao pamoja na kutetea chama chao.
 
wasira na mkuchika ni wazee wa siasa na kauli za maji taka,wanaishia zao haoo .wameamua kunyea jamvi kabla hawajaishia zao ,2015 hawapiti hawa ata kwa ngozi ya albino,..
 
mwanangu akigoma kula huwa naichukua picha ya jamaa,nikimtishia nayo tu,anaogopa kwa kuiona na anakula
 
Ni kwanini waliruhusu MALI ASILI zitoke porini kuja studio?????
Aaaafu weeeewe bwana.. Ehehehehe.. Hizi maliasili/nyara za serikali siku hizi zimezoea kukimbia mbugani.. Nyingine juzi ilikuwa inaongea na ma'doktoriii'
 
Aiseeee kumbe!kuna mamba wetu alitoroka kwenye zoo hiyo juzi nikasikia alionekana mitaa ya muhi2. Lakini anyway ameisharudi bwawani.
 
Wadau leo asubuhi Waziri Wassira alikuwa anahojiwa TBC1 kuhusu muswada wa marekebisho ya sheria ya mchakato wa Katiba unaotarajiwa kuwasilishwa bungeni. Cha kusikitisha na kutia aibu ni kwamba Wassira badala ya kuongea kama Waziri wa Serikali ameongea kama mwanapropaganda wa CCM tena mwenye uelewa wa chini kabisa pungufu ya ule wa Tambwe Hiza.

1. Kwanza ameongea uongo kuwa marekebisho yanayokusudiwa sio maoni ya CDM ni maoni ya rais na CCM na kwa hiyo hakuna lolote linalotokana na maoni ya CDM. Wakati anaongea haya alikuwa anaangalia chini kwa aibu! Shame on him!!!

2. Amekataa kuwa hakuna wabunge wa CCM wasiopenda muswada huo kuletwa tena bungeni wala hawana tatizo lolote na mwenyekiti wao wa chama yaani JK kwa kukutana na CDM na kusababisha muswada huo kurudishwa tena bungeni! Huu ni uongo pia kwa sababu wote tunajua walivyomuwekea bifu!

3. Anajaribu kujenga hoja kuwa marekebisho hayo ni madogo na ni ya serikali na sio kwa kushinikizwa na kwamba waandishi wa habari wanaeneza uzushi!

4. Alikuwa anakwepa maswali ya msingi na kuzungumzia mambo yake mwenyewe akilenga kuwaponda CDM hadi mtangazaji akawa anaduwaa kwani alitegemea anaongea na waziri wa serikali kumbe anaongea na kada wa chama!

Kwa maoni yangu waziri kuwa mbabaishaji kiasi hiki ni dalili za kushindwa! Uelewa wake pia ni mdogo sana kama anashindwa kuelewa kuwa ni wakati gani anazungumzia mambo ya chama na wakati gani anazungumza mambo ya serikali!

Ukiona mtu mzima kama ww unamlalamikia mwanaume mwenzako km hivi ujue amekushika / amewashika pabaya. Hongera, Wassira kaza buti uliposhika hapo hapo usiachieee wanaweweseka na kutaabika watu km aliye leta thread hii na wengineo humu JF

Wasira uliwezaje kumwangalia, manake mi namwona kama gorila hizi...sorry
Moderator, nakushauri umpe ban huyu bwana. sidhani kwa namna yoyote huu ni uungwana. Je, angesema hivi mzungu si mngemlaani kwa ubaguzi?
 
Back
Top Bottom