USULTANI waisambaratisha CUF bara.

African American

Senior Member
Feb 6, 2012
165
62
Wanachama 1,328 wamekihama CUF kwa maelezo kwamba wamerithiswa na kauli ya Hamad Rashid kwamba chama kinaongozwa Kisultani. Kwaheri See you F.

Source: Nipashe
 
Wanadai wakati wa uchaguzi mkuu, mawakala kwa upande wa bara walilipwa 4000 tshs wakati wa Zanz walipewa shs 15,000/=jambo linaloashiria ubaguzi.
 
Nasikitika dua zenu haziwezi fanikiwa! CUF imepitia vipindi vingi vigumu mpaka kufikia hapo ilipo......
CUF itaendelea kuwepo bila msaada ya media za ki-chadema!
 
Priority of Zion, ni kweli CUF imepitia mitihani migumu sana. Hata hivyo ngome yake huko zenj haikutetereka. Na chama kilikuwa kimeanza kujitanua kutoka Pemba kuinghia unguja. Matokeo ya uchaguzi wa uzini yanaashiria kwamba kama CUF haitafanya mabadiliko makubwa kisera na kiuongozi, siku zake za kuwa chama mashuhuri zinahesabika. Tusubiri tu.....
 
washamezwa, kunadalili ya kuja chama kipya visiwani kupingana na ndoa ya mashaka SUK, sababu ni ya kinafiki, hamna upinzani kati ccm na cuf , Ahmad Rashidi lazima aje na chake tuu, hawezi kukubali. Vile vile hamna uchadema hapa., Priority of Zion unabugi
 
CUF ni taasisi...watu kama Hamad Rashid na kikundi chake hawanyimi usingizi....kwa sasa hivi hawawahi wala hawazimi!
 
Wanachama 1,328 wamekihama CUF kwa maelezo kwamba wamerithiswa na kauli ya Hamad Rashid kwamba chama kinaongozwa Kisultani. Kwaheri See you F.

Source: Nipashe

Mimi nafikiri kauli ya maalim Seif iiheshimiwe." Kamati KUU baada kupitia vielelezo vyote imeamua kumfukuza Hamad Rashid. Na tupo tayari kabisa kurudia uchaguzi wawi au hata Hamadi rashid awe mbunge wa mahakama. Lakin CUF hatumtaki tena"

Sasa yote ya nini ndugu waandishi.

Hamumtaki hamadi rashidi, wananchi nao wanasema hawawataki!!!!! kumbukeni, kama mnaweza kumchukia mtu nanyi mwaweza kuchukiwa mkakosa kuungwa mkono na chama kikajifia pasi na uangalizi wa tabibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom