Je, Chadema kuwa Na. 2 jimbo la Uzini Udini umeshindwa?

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Salaam kwa Malaria Sugu, Rejeo, Ritz, Faizay Fox, Barubaru na wengine wanaoamini katika udini.

Tumeaminishwa kwamba chadema ni chama cha wakristo lakini kimeshika namba 2 kwenye uchaguzi wa jimbo la Uzini, Zanzibar mbele ya CUF ingawa wapo wanaoamini kwamba CUF ni chama cha Waislamu kimekuwa namba 3.

Hakuna chama cha kidini nchi hii.

Uchaguzi huu umetusaidia kujua kwamba kauli mbiu ya udini inachochewa na kundi la watu wachache kwa maslahi yao binafsi lakini naapa hawatashinda. Wenye haki ya kuzuia udini watashinda.

Faizay Fox na wenzake wamejaribu sana kuitangaza chadema ni chama cha wakristo, mnasemaje kuhusu hili JF.
 
Kwa kuongezea uliyoyaandika kwenye uchaguzi wa 2010 CUF ilishika nafasi ya pili.Na kwa kura za mwaka juzi CUF ilipata kura 353 na uchaguzi huu wamepata kura 223 na hiyi ni pungufu ya kura 130.Tuwape CUF pole.
 
Uchaguzi wa igunga ilionekana CUF wameshindwa vibaya kwa sababu ni bara sasa Uzini kwao wako chini ya chadema. Mwisho wa CUF unakaribia
 
Ha ha haaaa, niliposikia matokeo nikajua utani hadi baada ya kupata news kamili humu jamvini ndio nikajua kumbe kweli KIMENUKA kwa CUF. Tunasuburi jimbo la Wawi ili hatimaye CDM iingie rasmi visiwani. Hongera CDM kwa kushika upili Uzini, hii ni confidence boost ahead of Arumeru election.
 
Kauli za udini huchochewa na wanasiasa Mufilisi kutoka ccm , wanasiasa vilaza na wagonjwa wa akili
 
Uzini mmethibitisha kwamba udini ni sera ya wapumbavu. Ni nini siri ya chadema kupenya hadi kwenye himaya ya Waislam huko znz? Kinachoshangaza ni kwamba chadema hawajawekeza nguvu nyingi zanzaibar.
 
Yes, you can look at it in that way, lakin MKE GANI si busara kulinganisaha ushindi wa CDM kwa CUF kwani lengo halikuwa hilo. Ukiangalia vizuri hizo digit utagundua kuwa hata ukijumlisha kura za CUF na CDM bado haifiki 0.25 ya kura za CCM. Na tofauti kati ya kura za CDM na CUF ni ndogo sana.

Sasa kwa wanaojua Jiografia ya Visiwan watakuambia, Jimbo la Uzini sio sehemu muafaka ya kufanyia sampling, kutokana na nature ya population ilivyo pale. Vyovyote vile CDM ndio imeanza kuingia visiwani, lakini kwa kura za jana jimboni UZINI, bado si dalili muafaka
 
Chadema hivi nyie mpinzani wenu na CUF au CCM? naona mmeamua kujiliwaza kwa kuishambulia CUF.

Kwenye uchaguzi wa Uzini Chadema ndio wamepoteza zaidi kuliko CUF kwanza mnatakiwa mkumbuke Chadema walishika nafasi ya pili katika jimbo ilo uchaguzi uliopita sijui kama unalijua ilo.

Kura za Chadema zinazidi kupungua tofauti na uchaguzi uliopita.
 
Kumbe Hamad Rashid alikuwa sahihi, Chama kimekosa mvuto coz of Katibu Mkuu...YAMETIMIA MIA.
 
Mkuu, umemsahau Kengemumaji
Salaam kwa Malaria Sugu, Rejeo, Rizy, na wengine wanaoamini katika udini.

Tumeaminishwa kwamba chadema ni chama cha wakristo lakini kimeshika namba 2 kwenye uchaguzi wa jimbo la Uzini, Zanzibar mbele ya CUF ingawa wapo wanaoamini kwamba CUF ni chama cha Waislamu kimekuwa namba 3.

Hakuna chama cha kidini nchi hii.

Uchaguzi huu umetusaidia kujua kwamba kauli mbiu ya udini inachochewa na kundi la watu wachache kwa maslahi yao binafsi lakini naapa hawatashinda. Wenye haki ya kuzuia udini watashinda.

Faizay Fox na wenzake wamejaribu sana kuitangaza chadema ni chama cha wakristo, mnasemaje kuhusu hili JF.
 
Chadema hivi nyie mpinzani wenu na CUF au CCM? naona mmeamua kujiliwaza kwa kuishambulia CUF.

Kwenye uchaguzi wa Uzini Chadema ndio wamepoteza zaidi kuliko CUF kwanza mnatakiwa mkumbuke Chadema walishika nafasi ya pili katika jimbo ilo uchaguzi uliopita sijui kama unalijua ilo.

Kura za Chadema zinazidi kupungua tofauti na uchaguzi uliopita.

chadema hawakuwa na mgombea uzini katika uchaguzi uliopita. Lakini hujajibu chama unachisema cha kikristo kuwa namba 2 kwenye waislamu wengi.
 
Wewe kweli una roho ya PAKA bado unajitokeza!!! hahaah!!
 
Kumbe Hamad Rashid alikuwa sahihi, Chama kimekosa mvuto coz of Katibu Mkuu...YAMETIMIA MIA.

Mkuu, hivi Chadema kupata kura 281 Uzini ni mafanikio labda nikuulize uchaguzi uliopita Chadema walipata kura ngapi Uzini?
 
Hoja si wingi wa kura ni kushika namba 2 kwa chama cha makafri mbele ya CUF.
 
chadema hawakuwa na mgombea uzini katika uchaguzi uliopita. Lakini hujajibu chama unachisema cha kikristo kuwa namba 2 kwenye waislamu wengi.

Sasa sijui mie takujibu nini hata historia ya Chadema huijui unasema Chadema hawakuwa na mgombea Uzini uchaguzi uliopita.

Nenda kawaulize viongozi wako watakuambia vizuri kama Chadema walikuwa hawana mgombea jimbo Uzini, wewe unaonekana ni Chadema-Kata.

Mie sio Chadema lakini najua kuwa Chadema walikuwa na mgombea Uzini uchaguzi uliopita. au kwa ili nalo unataka tuminyane?
 
Yes, you can look at it in that way, lakin MKE GANI si busara kulinganisaha ushindi wa CDM kwa CUF kwani lengo halikuwa hilo. Ukiangalia vizuri hizo digit utagundua kuwa hata ukijumlisha kura za CUF na CDM bado haifiki 0.25 ya kura za CCM. Na tofauti kati ya kura za CDM na CUF ni ndogo sana.

Sasa kwa wanaojua Jiografia ya Visiwan watakuambia, Jimbo la Uzini sio sehemu muafaka ya kufanyia sampling, kutokana na nature ya population ilivyo pale. Vyovyote vile CDM ndio imeanza kuingia visiwani, lakini kwa kura za jana jimboni UZINI, bado si dalili muafaka

Akina Ritz wanatutaka tuamini kwamba kura zinapigwa kidini ndio maneno yao siku zote ndio sababu nauliza dini ilikwenda wapi hadi chama wanachosema cha wakristo kikawa mbele ya CUF? Hii ndio hoja.
 
Hiki ni kikundi cha wafuasi wa chama cha udini. Makao makuu ya chama yapo hapa JF mwenyekiti wao Malaria Sugu.

Hakuna cha ajabu hapo mkuu kwa kukusaidia uchaguzi uliopita Chadema walishika nafasi ya pili mbele ya Cuf.
 
Sasa sijui mie takujibu nini hata historia ya Chadema huijui unasema Chadema hawakuwa na mgombea Uzini uchaguzi uliopita.

Nenda kawaulize viongozi wako watakuambia vizuri kama Chadema walikuwa hawana mgombea jimbo Uzini, wewe unaonekana ni Chadema-Kata.

Mie sio Chadema lakini najua kuwa Chadema walikuwa na mgombea Uzini uchaguzi uliopita. au kwa ili nalo unataka tuminyane?

Tukubaliane alikuwepo. Je, udini unasemaje? mgombea wa chadema Uzini alikuwa Mwislamu wajua hiyo?
 
Salaam kwa Malaria Sugu, Rejeo, Rizy, na wengine wanaoamini katika udini.

Tumeaminishwa kwamba chadema ni chama cha wakristo lakini kimeshika namba 2 kwenye uchaguzi wa jimbo la Uzini, Zanzibar mbele ya CUF ingawa wapo wanaoamini kwamba CUF ni chama cha Waislamu kimekuwa namba 3.

Hakuna chama cha kidini nchi hii.

Uchaguzi huu umetusaidia kujua kwamba kauli mbiu ya udini inachochewa na kundi la watu wachache kwa maslahi yao binafsi lakini naapa hawatashinda. Wenye haki ya kuzuia udini watashinda.

Faizay Fox na wenzake wamejaribu sana kuitangaza chadema ni chama cha wakristo, mnasemaje kuhusu hili JF.

Jipambanue wamepata asilimia ngapi?

Isije ikawa ile nimekuwa mtu wa nne darasani kwangu. Pasi na kubainisha kati ya watu wangapi. Inawezekana ukawa wanne kati ya watu wanne.

Ongezeni bidii lakin lazima msome alama za nyakati kama walivyofanya wenzenu na kupunguza majigambo.

Back
Top Bottom