Ushauri: Chadema angalieni majimbo yenu

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Wana JF napenda kuwaomba sana tuliiangalie hili kwa wabunge wa CHADEMA vijana,wabunge hawa wamekuwa wapambanaji wazuri sana Bungeni kwa umoja wao,mipango yao,na Upambanaji wao Bungeni ki taifa,Jambo moja kwenu (Wabunge)ni kutunza kumbukumbu na Ushahidi wa Kazi za Maendeleo Jimboni Sambamba na Uadilifu wa Fedha katika Halmashauri zenu,hii ni Silaha tosha kwa vita ijayo maana Wananchi watapenda kuona Maendeleo ya Majimbo ya CHADEMA yanakauwa mfano wakati wa kampeni za 2015,hata kama hamtagombea wengi wenu basi Fanyeni sana maendeleo ya miradi midogo na mikubwa ili picha na mabango yenu yawe kazi Zenu ifikapo 2015 Mungu awape mwanga
Nawasilisha....
 
Maendeleo tunayohitaji ni ya nchi nzima siyo tu majimbo yenye wabunge vijana toka CHADEMA. Ningekuona una hoja kama ungewahamasisha wote wakiwemo akina JANUARI MAKAMBA ambao pia wanafanya vizuri bungeni.
 
Siri ya Utajiri ni kutunza ulichonacho na kutafuta ambacho huna hoja yangu ni kwa CHADEMA soma vzr, hao akina January waambie wewe na Luside
Maendeleo tunayohitaji ni ya nchi nzima siyo tu majimbo yenye wabunge vijana toka CHADEMA. Ningekuona una hoja kama ungewahamasisha wote wakiwemo akina JANUARI MAKAMBA ambao pia wanafanya vizuri bungeni.
 
Maendeleo tunayohitaji ni ya nchi nzima siyo tu majimbo yenye wabunge vijana toka CHADEMA. Ningekuona una hoja kama ungewahamasisha wote wakiwemo akina JANUARI MAKAMBA ambao pia wanafanya vizuri bungeni.
tunalalamikia ccm wametanguliza maslahi ya chama mbele kuliko taifa kumbe hata nyinyi chadema ni walewale tu. tofauti ni majina tu ya vyama. pumbaf kabisa.
 
Back
Top Bottom