Ubaya wa Muswada wa katiba kama ulivyo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubaya wa Muswada wa katiba kama ulivyo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Topical, Nov 24, 2011.

 1. T

  Topical JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ukiacha hoja za TL kwamba haukujadiliwa (i.e. mara ya kwanza na pili), naomba kwa dhati kabisa ubaya wa muswada huo kama ulivyo sasa, na pengine utaratibu gani ndio ungeleta katiba nzuri?? kwanini unafikiri kwamba kama ilivyo haitaleta katiba nzuri kwa nchi???
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ukusoma hotuba ya tundu lisu utaona madudu yaliyomo humo..
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nimesoma mkuu ukisoma ni mambo mawili tu niliyoyaona?
  1. Kwamba nafasi ya Zanzibar ni kubwa mno??? unafikiri tungefanyeje?? maana ukibadilisha maana yake wazanzibar watataka kusikilizwa tena na haupiti unafirki utaratibu gani ungefaa??

  2. Upelekwe kwa mara kwanza ili ujadiliwe?? lakini haonyeshi vipengele vya msingi vyenye shida zaid ya nafasi ya rais lakini anasahau hata wangepita bunge bungeni bado ccm ina nafasi kubwa zaidi?? what options do you suggest??
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  baada ya kupitia vipengele umeona hauna tatizo lolote? au unataka wengine wakiona ndio wakuoneshe?
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  MMM.

  huyo jamaa anafahamika hapa jamvini. mwezi mchanga.
   
 6. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mambo yafuatayo:
  1. Mswaada umempa raisi nafasi ya kidikteta ktk kusimamia mchakato mzima wa uundwaji wa katiba. yeye ndo anasimamia kila kitu. Haujatoa nafasi ya uwakilishi wa kidemokrasia katika process hiyo.

  2. Zanzibar wamepewa nafasi kubwa ya uwakilishi katika mchakato, kwa karibu kiwango sawa na serikali ya muungano; je, Tanganyika uwakilishi wao uko wapi? Je, serikali ya muungano ndiyo ya Tanganyika? Kama ndo ya Tanganyika, je wazanzibari wanaingia kufanya nini kwenye mambo ya watanganyika? Mbona watanganyika hawakuhusishwa wakati wazanzibari wanatengeneza katiba yao?

  3. Mswaada huu haukupaswa kusomwa kwa mara ya pili bungeni. Ulipaswa kusomwa kwa mara ya kwanza. Ule ulioletwa mwezi April ulikataliwa, na serikali ikauondoa bungeni. Serikali ikaenda kuandaa mswaada mpya, ambao ndo huu ulioletwa bungeni. Hai-make sense kuswoma kwa mara ya pili wakati ule wa mwanzo ulikatiliwa na kuondolewa.
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama wanaona kuna tatizo waonyeshe? naam.
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Bado huyo Topical hawezi kukuelewa,
   
 9. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Unataka wamuonyeshe nani na wapi?
   
 10. T

  Topical JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  1. Process ya kidemokrasia ingekuwa kivipi kwa mfano? ambayo unafikiri haitakuwa ya kidikteta??

  2. Zanzibar kupewa nafasi kubwa inainyima vipi Tanganyika haki zipi? kwa mfano??? lipi Tanganyika itaikosa??

  3. Nimesema tukiacha malumbano ya kusomwa mara ya kwanza na ya pili maana nataka nifahamu tatizo la muswada kama ulivyo una shida gani kwa wananchi kupata katiba nzuri??
   
 11. T

  Topical JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Watufahamishe sisi maana hatuelewi mnapinga nini??
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  hapo ndipo kwenye problem. madai ya kimsingi ya cdm munayaita malumbano. haramu ni haramu tu. haitapita au hata ikipita haitadumu.
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  then ikienda mara ya kwanza ikarudi kama ilivyo hakuna tatizo kwa mtazamo wako au siyo?
   
 14. P

  Percival JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,568
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  hakuna tatizo - ila ni imaginary problems
   
 15. m

  mtolewa Senior Member

  #15
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hata kama tukikueleza hutaelewa,hata kama tukikupa mfano bado hutaelewa na tukikuliza swali kwa nini unajidai hujui kusoma na hutaki hata kuangalia picha? huwezi kutupa jibu.
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Hayo unayoyasema yote ni yako wewe hujaonesha mswaada unasemaje kuhusu hayo, na pia hujatuonesha wa kwanza ni huu na wa pili ni huu. Pumba hatutaki tuwekee mchele.
   
 17. A

  August JF-Expert Member

  #17
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  tatizo lililopo kwa tanzania ni kwamba atachaguliwa igp ambaye atakuwa attached to the president instead of the country, na ndio kwa mkuu wa majeshi, controller and auditor general, attorney general, etc etc, matokeo yake hata mawaziri na wabunge wanakuwa na msimamo huo. angalia mikataba ya meremeta, rada, iptl, net group, madini, nk nk kutokana na kumpa madaraka makubwa raisi ambaye kutokana na mfumo wetu tunaweza kupata kichaa, sasa mpaka wagunde wananchi au wawakilishi wao utaona wanasema katiba inayo mpa raisi madaraka makubwa haifwai
   
 18. Mbassa

  Mbassa JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 247
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  @TOPICAL, Wahenga walisema asiyejua maana haambiwi maana, so kama wee huoni tatizo, pamoja namaelezo yote aliyotoa LISSU katika mswada huu, hata ukionyeshwa hutoliona. Bora ukae utulie kuliko kuendelea kutafuta maana ambayo hata ukinyeshwa hutaelewa. MTOTO ANAYENYONYA HAPEWI KONGORO ATAFUNE!
   
 19. T

  Topical JF-Expert Member

  #19
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkinieleza nitaelewa, mkinipa mfano nitaelewa nashindwa kuwaunga mkono kwasababu mnapinga lakini hamuwezi kutoa kasoro zake ni nini? hapo ndio ninapowashangaa..au ndio bendera fuata upepo..
   
 20. T

  Topical JF-Expert Member

  #20
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Naomba tuvunje hayo ya wahenga naomba uniambie maana for sure nataka kuwa support lakini sielewi mnacholalamika ni nini??
   
Loading...